Airhostess courses in dar es salaam

OGOPASANA

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
262
144
Where can in find colleges, institutions, centers or classes for AIRHOSTESS in DAR ES SALAAM??
 
natafuta chuo kinachofundisha masomo ya airhostess hapa Dar..... hujaelewa nini MNDEE????
 
natafuta chuo kinachofundisha masomo ya airhostess hapa Dar..... hujaelewa nini MNDEE????

Hivi shule wewe ilikukiosea nini karne hii bado tu unaogopa umande. Bwana wee nenda katafute qualifications za kuchukia degree acha mchezo wa kitoto huu.
 
Huitaji course kuwa air hostess.Ninavyoelewa,hakuna Dar.Na hata ingekuwepo ungepoteza pesa zako bure.Normally wana-ku-train wenyewe...Kutokana na ndege gani wanatumia.Na karibu kila shirika la ndege lina training centre yake.I hope nimejibu swali lako.
 
huitaji course kuwa air hostess.ninavyoelewa,hakuna dar.na hata ingekuwepo ungepoteza pesa zako bure.normally wana-ku-train wenyewe...kutokana na ndege gani wanatumia.na karibu kila shirika la ndege lina training centre yake.i hope nimejibu swali lako.

mbona unaji contradict...mara hakuna dar..mara shirika linakutrain wenyewe wapi?yombo dovya???sema sijui msimkatishe mtu moyo......mkuu ogopa sana
vipo
kule airport vipo viwili nenda terminal 1 uliza kuna royal aviation
kingine kiko tazara majengo ya tazara uliza.....tanzania aviation..for more help nenda kwenye pm
 
pm ndo chuo cha wapi tena?????
 
pm ndo chuo cha wapi tena?????

The Boss, please, onea huruma mbavu zetu!!!
I say, huu ukumbi mimi unanifurahisha sana, maanake hata ukija na hasira zako za mchana kutwa basi utacheka tu. Hata mtu akiwa serious vipi, watu watamletea utani tu. Kuna mmoja huyo ananieleza eti niwe na adabu na niache kunywa pombe! Jamani, chai mimi sinywi, vipi nitakunywa pombe?
 
for more help nenda kwenye pm
MKUU THE BOSS IMESOMA VIZURI HAKUNA SEHEMU ILIOANDIKWA CHUO CHA PM
Teeeeeehhhhhhteeeeehhhhh mpwaaaaaaaaaaaa!!!
 
mbona unaji contradict...mara hakuna dar..mara shirika linakutrain wenyewe wapi?yombo dovya???sema sijui msimkatishe mtu moyo......mkuu ogopa sana
vipo
kule airport vipo viwili nenda terminal 1 uliza kuna royal aviation
kingine kiko tazara majengo ya tazara uliza.....tanzania aviation..for more help nenda kwenye pm

kumradhi kama vipo.obviously ufahamu wangu ni mdogo kwa uwepo wa vyuo hivyo dar.asante kwa kumfahamisha.kauliza swali jibu langu halikumpa ilipo hivyo vyuo lakini linaweza kumsaidia asipoteze pesa zake.nna imani anauliza akiwa na nia ya kusoma na kuja ifanya hiyo kazi.kama hivyo ndivyo.kila shirika la ndege lina training centre yake kwa ajili ya mafunzo hayo na pia inategemea ni ndege gani wanatumia.hivyo labda kama hilo shirika limemwambia aende kwenye hivyo vyuo...vinginevyo kama anataka soma kwa nia ya kutafutia kazi....havitakuwa na uzito wowote kwa kupatia kazi.ni info tu.good luck!
 
kumradhi kama vipo.obviously ufahamu wangu ni mdogo kwa uwepo wa vyuo hivyo dar.asante kwa kumfahamisha.kauliza swali jibu langu halikumpa ilipo hivyo vyuo lakini linaweza kumsaidia asipoteze pesa zake.nna imani anauliza akiwa na nia ya kusoma na kuja ifanya hiyo kazi.kama hivyo ndivyo.kila shirika la ndege lina training centre yake kwa ajili ya mafunzo hayo na pia inategemea ni ndege gani wanatumia.hivyo labda kama hilo shirika limemwambia aende kwenye hivyo vyuo...vinginevyo kama anataka soma kwa nia ya kutafutia kazi....havitakuwa na uzito wowoteukupatia kazi.ni info tu.good luck!

MKUU KITIMOTO
Ni kweli labda kwa kukusaidia tu i used to be a flight attendant 7 yrs
lakini nilipomaliza shule yangu niliamua kusomea hili bila kujua lini ntapata ndege ya kufanyia kazi...4 months baadae kampuni moja ikatangaza kazi nika apply na kupata...so kama anaipenda mwache asome...nimeingia as flight attendant with ma degree ya CIVIL ENGINEERING...nikiwa naruka nikaamua kujisomea mwaka jana nikachukua degree ya BBA GENERAL..ndipo nikaamua kupumzika na kufanya ground work..so si kwamba hii kazi watu awajasoma.ila si nzuri kufanya kwa muda mrefu age matter....
 
ASANTENI WOTE KWA MAJIBU, MSAADA, NA CHANGAMOTO ZENU... i do appreciated.
 
Back
Top Bottom