Air Tanzania

Ma Tuma

Senior Member
Jul 26, 2011
123
25
Hivi alosema akina Mattaka wameua ATCL ni nani? Utauaje kitu kilichouliwa na SAA?
 
Ni kweli ameliua, alikubalije3 kuongoza shirika lililokufa?Kumbe Tz nchi yenye watu > 40mil haina hata ndege moja.!! kweli hatuna viongozi bali tuna watawala.
 
Ni aibu kubwa kwa shirika la ndege la taifa kuwa na ndege moja tena mbovu,viongozi waliolifikisha hapo inabidi wawajibishwe.
 
Muujiza ni kwamba hiyo ndege moja mbovu inalipa mishahara ya wafanyakazi zaidi ya 180!
 
Mtabaki mnarumbana na kisha mtashangazwa na wale mliowaita wenye vita na ukabila nchini mwao wakisonga mbele na kuteka soko la biashara la usafiri wa anga EA, check kagame na Rwandair yake asivyochanganya siasa na kazi!
 
Ukistaajabu ya JK utayaona ya Mattaka!!!
<br />
<br />


AISEEE HOPE RIZI 1 HATOOIONA HI HABARI YAANI UKISTAAJABU YA JK UTAYAONA YA???KAZI ANAYO KUMBEEEEEEEE EEHHH???????
 
Atcl tatizo si pesa wala ndege swala ni unamkabidhi nani hizomali na umemuwekea masharti gan iwapo
asipofikisha target ndan ya miezi kadhaa hicho ndicho muhimu zaidi na ningependa hata waziri husika asiangalie
undugu ama ujiran ama urafiki hatakama ana mjua adui yake mwenye uwezo wa kuiongoza atcl amuweke pale..nadhan ameona
na amesoma namba shida alaiokumbana na yo wakati akitaka kumuondoa bwana mkubwa yulee nahii yote ni kutokuwa makini na kuleta siasa kwenye kazi..atcl ya leo akuna ambae anapenda iwe hivyo na naamini hata wattoto wanaozaliwa watauliza hivi mama kulikuwa na ndege ya serikali ya tanzania..?niaminicho mpaka kesho kufa haitokufa hata siku moja watu wataondoka wataiacha swala ni unawekaje ili kesho anaejiandaa kuitafuna akutane na moto nahivyo kuomba apumzike mwingine achukue
 
Back
Top Bottom