Air Tanzania soars again

Namtih58

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
235
46
Air Tanzania soars again, propelled by Chinese firm

February 6, 2009: Air Tanzania will soon be back in operations as the Tanzanian government plans to sell a stake to a Chinese firm.

The firm is expected to help the airline implement its strategy which includes acquiring nine new aircrafts

According to the deputy minister for Infrastructure Development, Mr Hezekiah Chibulunje, China Sonangol International would buy 49 per cent of the airline and help the Government implement the airlines investment strategy to increase its fleet for both domestic and international flights.

Soma zaidi hapa
 
Sina imani na Chinese (na Asian) investors kwa ujumla.
 
Ni uvivu wa kufikiri na kushindwa kuwatumia na kuheshimu ushauli wa wataalamu wa ndani. Shida kidogo ikitokea tunafikiria kumpe mtu mweupe badalaya kujiuliza tatizo ni nini na nini kifanyike. Matatizo yapo kote hata ulaya wanakumbana na vitu kama hivi ila wenzetu ikishakuwa hivyo wataalamu wanapewa nafasi ya kutambua tatizo nakutoa mwelekeo. Kibaya zaidi watu weusi ndio wamekuwa wakifanya kazi hizi kwaufanisi mkubwa sana ulaya. Kweli nabii mwenye ngozi nyeusi hakubaliki nyumbani.
 
Hapo nakubaliana na wewe mkuu

Hivi Kenya airways walipotaka kununua ma share walikataliwa, lakini hawa wa nje ndo afadhali
 
Back
Top Bottom