Insurgent
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 469
- 18
- Thread starter
- #21
Hio duara haina maana "A" inatiliwa mkazo kama "K" kwenye logo ya Kenya Airways.Hio duara ina maana yake katika aviation industry,either ina maanisha kuwa ni international carrier or something else of the same sort.Ila mimi similarity iko zaidi kwenye mkia wa hio 'a' kama vile ulivyo wa 'k'
Duara halina maana ya international carrier, hilo limeigwa tu kutoka kwa wenzetu.
Angalia baadhi ya Internatonal Carriers hapo chini.
Kutumia fedha kuanza kutengeneza logo za copycats hakuna maana kabisa bora angeinvest kubadilisha attitudes za wafanyakazi wa shirika hili kwa kufanya trainings.