Rebel volcano
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 403
- 86
kwa mtu anaesafiri sana kwa kutumia uwanja wa kimataifa wa dar es salam,hakika atakutwa na matatizo mengi kabla ya kupanda ndege,na hata wakati wa kurudi.
hivi asali lita 3 zawadi mpaka ilipiwe kodi??!!
mara moja ilinibidi nimuachie jamaa dawa za mswaki na mafuta ya kupaka kwa jinsi alivyoning'ang'ania nimwachie!
wakati wa kurudi hakuna dalili yoyote ya usafi!!
vyoo mazingira yake ovyo!!!
hata foleni zenyewe wakati wa kugongwa pass zinakwenda taratibu sana na joto la ajabu hakuna mfumo wa viyoyozi!!
wakati wa kuchukua begi zako,nashangaa hata matunda yasiyozidi kilo 5 umenunua labda 25000 kodi yake utaambiwa 80000/=
au redio yako moja ya matumizi wala si ya biashara ushuru!!
blender moja tu ya matumizi nayo ushuru!!
anashuhudia mungu wangapi tumeacha vitu vyetu hapo,na sijui vipo hapo au wamevibeba makwao!!
tanzania upande wa air port kuna maudhi sana ya ajabu!!!
sijawahi kuyaona nchi zoote nilizotembelea!!
nchi la kimaajabu hili