Aina za sumu ambazo Madaktari hawawezi kuzitambua

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
kuna haina nyingi za sumu ambazo madaktari hawawezi kuzifahamu kilahisi, hata vipimo vyao haviwezi gundua.
1. Mjusi wa majumbani ule mweupe unaokula wadudu na unakaa karibu na taa, ukiuliwa ukakaushwa mtu akiwekewa kwenye maji au juice ni sumu mbaya ambayo inaua kwa miezi mitatu, inaingia kwenye uboho na kuanza kutafuna mifupa. Dalili mifupa itaanza kutoboka, kuvimba matezi, kuwa mwehu, kubabuka ngozi, upele na ukurutu.

2. Aina nyingine mbaya kuliko zote ni ya Damu ya kina mama wakiwa kwenye ezi, ile damu ya kwanza nzito sana ikikaushwa na kutiwa kwenye chai, juice, hiyo ulegea kabisa ndani ya mwezi mmoja, ukisalimika hata miezi miwili, hii uonyesha dalili zote za ukimwi. Hata uende upimwe wapi hawawezi kuona kitu.

3. Nyingine ni ya chura wale wakubwa sumu hii ukaa kwenye kimfuko fulani nayo hii ikikaushawa hakuna mganga wa kuilewa.

Ukitaka kujua aina ya sumu na madhara yake waulize WAKELEWE au WAZINZA.
Mwisho nahisia kuwa Mwakye huenda kapewa haian hiyo ya sumu maana waliotekeleza mipango hiyo walienda kwa mganga kule serous game kama ilivyoelezwa kwenye gazeti la Mwanaharisi la Mweziwa 2 mwaka 2011
 
Acha kueneza ushirikina hapa wewe!
Hivyo ulivyovitaja havina uthibitisho kisayansi.Damu ya akina mama unayoitaja hapo, hiyo sumu inatoka wapi?
 
hiyo ndiyo umeiona, kajaribu uone kama hatutakupiga chepe baada ya mwezi
 
Huu si uchawi bali ujuha wa hali ya juu. Damu ya hedhi unayosema haina sumu yoyote wala hao mijusi na vyura. Mbona vyura na mijusi wanaliwa na hakuna anayekufa? Hizo ni imani za kizamani na mawazo mgando.
 
Mkuu, hata nyoka huwa analiwa lakini naye pia anasumu.
 
kwa walikulia mjini msiulize sana haya mambo hamuyajui, kama unasema tunawarudisha enzi za nyuma basi waganga wa utafiti pale mhimbili tuwakimbize au msiende loliondo kwa babu
 
Mhhh, hii technologia ya sumu si mchezo. Swali ni kwamba je ktk jamii zetu kuna wanaozitumia au waliowah kuzitumia?
 
wakelewe wa nansio na wazinza wanazitumia sana , ndio maana mkelewe awezi kuacha grass yake popote pale, huwa wako hiyvo, au kamuulize Bigambo Maendeka
 
Mbona unatuhamisha toka polo 210 au 236 na kwenda kwenye zako.
Kinachoonekana hapa ni hisia za kila mtanzania. Unapoongelea hizo polo 210 au 236 wewe ni msomi unaejua madhara ya heavy metals zikitumika kama silaha ambazo mara nyingi watumiaji wake ni majasusi. Huyu bwana aliyeorodhesha nga'ngwe zake hapo huenda ni mshirikina ambaye anajua kama washirikina walihusika katika kadhia hii huenda ndizo zilizotumika!
 
Dah...huyu kaja na mapya kabisa..

Na kuna ugumu wa kutafuta,si Wikipedia wala nini...
 
kuna haina nyingi za sumu ambazo madaktari hawawezi kuzifahamu kilahisi, hata vipimo vyao haviwezi gundua.
1. Mjusi wa majumbani ule mweupe unaokula wadudu na unakaa karibu na taa, ukiuliwa ukakaushwa mtu akiwekewa kwenye maji au juice ni sumu mbaya ambayo inaua kwa miezi mitatu, inaingia kwenye uboho na kuanza kutafuna mifupa. Dalili mifupa itaanza kutoboka, kuvimba matezi, kuwa mwehu, kubabuka ngozi, upele na ukurutu.

2. Aina nyingine mbaya kuliko zote ni ya Damu ya kina mama wakiwa kwenye ezi, ile damu ya kwanza nzito sana ikikaushwa na kutiwa kwenye chai, juice, hiyo ulegea kabisa ndani ya mwezi mmoja, ukisalimika hata miezi miwili, hii uonyesha dalili zote za ukimwi. Hata uende upimwe wapi hawawezi kuona kitu.

3. Nyingine ni ya chura wale wakubwa sumu hii ukaa kwenye kimfuko fulani nayo hii ikikaushawa hakuna mganga wa kuilewa.

Ukitaka kujua aina ya sumu na madhara yake waulize WAKELEWE au WAZINZA.
Mwisho nahisia kuwa Mwakye huenda kapewa haian hiyo ya sumu maana waliotekeleza mipango hiyo walienda kwa mganga kule serous game kama ilivyoelezwa kwenye gazeti la Mwanaharisi la Mweziwa 2 mwaka 2011
Inatisha! sasa mkubwa wangu nadhani lengo la kuweka hoja hii hapa ni kujaribu kusaidia jamii kujua kuwa hivi ndivyo wabongo washirikina tunavyoondoana duniani! Sasa shauri basi ni namna gani mtu akihisi kaathirika kihiviyo afanye nini!
 
Back
Top Bottom