Aina za Ndoa ....

Ndoa jamani haigwi ndoa inasaidia kupunguza tamaa za mwili
 
Great to see you Lizzy...mzima lakini?? .....:welcome:

:focus:

Umesahau kwamba safari ni safari.....???

Babu DC!!
Mimi mzima kabisa babu DC. . .asante kwakunikaribisha. Niliwakosa sana.

Hehehehe najua ndio maana nikasema hata za ndumba nazo ni ndoa vile vile, ilimradi kuna aliyeoa na aliyeolewa.
 
fazaa unataka kuongeza mke
Target yangu kubwa sana kuongeza mke, tatizo sitaki wife ajue au watoto zangu, mana wakijua nyumba itawaka moto.

Nataka kufanya kama rafiki yangu ameoa mke wa pili, na wife wake wa kwanza hajui :cool2:
 
Hatoshi nini au wapi?

Duu teacher....

Nilijua hapa patakuwa hapatoshi...Kama hili swali angeuliza mwanamume mwenzangu ningemshangaa!!

Katika ndoa, kila mtu ana mahitaji, matamanio, mategemeo na maslahi yake ya kila aina. Haya yanagusa maeneo mengi sana, ikiwemo mambo ya ngono na mengine.

Ukweli wangu mie na wanaume wengine (may be wengi sana) ni kwamba mwanamke mmoja hatoshi!!

Babu DC!!
 
Target yangu kubwa sana kuongeza mke, tatizo sitaki wife ajue au watoto zangu, mana wakijua nyumba itawaka moto.

Nataka kufanya kama rafiki yangu ameoa mke wa pili, na wife wake wa kwanza hajui :cool2:

Duuuuhhhhh,

Hii sasa kali...Kama umeamua kuoa mke wa pili na dini + vitu vingine vinaruhusu, kwa nini unataka kuficha?

Wake zetu hawakubali, kuna siku nilimfanyia tu joke nataka kuoa nyumba iliwaka moto, sasa ni bora uowe kisiri siri :cool2:
 
Duu teacher....

Nilijua hapa patakuwa hapatoshi...Kama hili swali angeuliza mwanamume mwenzangu ningemshangaa!!

Katika ndoa, kila mtu ana mahitaji, matamanio, mategemeo na maslahi yake ya kila aina. Haya yanagusa maeneo mengi sana, ikiwemo mambo ya ngono na mengine.

Ukweli wangu mie na wanaume wengine (may be wengi sana) ni kwamba mwanamke mmoja hatoshi!!

Babu DC!!

Mkae mkijua kuwa kuna na wanawake wanafikiri hivyo hivyo pia. Kuwa mwanamme mmoja hatoshi. Maana hafikii viwango vyote mtu alojiwekea
 
Ndoa za mkeka, hapa wazazi wa binti wanaamua kuingilia kati suala la binti yao kumegwa bila utaratibu, wanafanya ambushi m2 unakabidhiwa mke, unaambiwa haya baba kula kwa uhuru hizi ni zako zabibu.
 
Mkae mkijua kuwa kuna na wanawake wanafikiri hivyo hivyo pia. Kuwa mwanamme mmoja hatoshi. Maana hafikii viwango vyote mtu alojiwekea

Tatizo letu ni kuyasema yale tunayotamani au kutojua yale wanayotamani wake zetu?

Mie nadhani wana haki zote kuwa na hisia na wishes zao hata kama wako kwenye ndoa...

Babu DC!!
 
Ndoa za kubakana....

Hizi zilikuwa zinafanyika sana kule kwetu Moshi hasa kipindi cha Christmass misa ya usiku.

Unavizia kabinti kametoka church unakatupia mgongoni. Kakiingia room unakabaka, kesho hakaondoki ndo imetoka hivyo.

hahaha ODM umenikumbusha mbali daaaah sasa hivi imepungua kama sio kuisha vijana wamekimbia mjini kule wamebaki wazee
 
Hayo ni matamanio ya wanaume wengi tu, ila mazingira pamoja na mambo y Beijing yanatubania!!

Hata mie ungenirusha miaka kama 20, haki ya nani ningeongeza mke hata kama ingenilazimu kuokoka!!

Mwanamke mmoja bwana hatoshi.......(hapa najua kuna watu watatamani wanimeze....ila mie naongea kama kidume cha 1947 na naomba mnisamehe in advance)!!

Babu DC!!
Actually huwa wapo...shida tu ni kwamba tunawafanya sio official!...lakini na ijulikane kuwa wapo!
 
Tatizo letu ni kuyasema yale tunayotamani au kutojua yale wanayotamani wake zetu?

Mie nadhani wana haki zote kuwa na hisia na wishes zao hata kama wako kwenye ndoa...

Babu DC!!

Nafikiri tatizo kubwa zaidi ni kuwa hatuambizani hizo fantasy au viwango vya kila mmoja wetu.

Unaweza kuwa unatamani ufanye ngono kwa kumfunga mtu pingu japo mara moja na bibie nae anawaza hilo hilo la kufungwa pingu lakini nyote hamjui matamanio yenu

KIla mmoja anabaki na dukuduku au tena ndo panasakwa nyumba ndogo na one night stands

Kuweni wa wazi ....ohoooo
 
Huku kwetu Africa siyo rahisi Gai,

Tunabaki kulaani watu wanaofanya vitu ambavyo ki ukweli tunavitamani.....

Ngoja niishie hapa...Kuna uzi wa mambo ya kupigana umenitengua akili!!

Babu DC!!
 
Ndoa za kubakana....

Hizi zilikuwa zinafanyika sana kule kwetu Moshi hasa kipindi cha Christmass misa ya usiku.

Unavizia kabinti kametoka church unakatupia mgongoni. Kakiingia room unakabaka, kesho hakaondoki ndo imetoka hivyo.

Daaah mkuu umenikumbusha mabali sana..:flock:
 
Back
Top Bottom