Aina mpya ya mrija badala kikombe??

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
950195516_WxYTq-M.jpg
 
Hawa ni ndugu zake John Pombe Magufuli (Wa-SUBI) kutoka Biharamulo - Hiyo pombe inaitwa "endimansi"!
 
Mkuu hii si aina mpya, kule home Biharamulo huwa tuna kunywa hivi, sharing na mambo ya kacha hayo! Shida mtu akishalewa anavuta halafu anarudisha humo humo!
 
mambo ya kawaida haya miaka ya 47 hasa lake zone.kwa sasa yamepitwa na wakati. hapo ni kunywa mate ya mwenzako tu
 
Tamaduni nyingine siyo za kuendekeza, huo ni uchafu tu.

Umewahi kuwala denda au kuliwa denda na wangapi? Mbona upo tu. Mate mara zote ni dawa. Kama yana magonjwa ni asilimia ndogo sana. Mimnimeipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom