Aina kuu nne za watu

Naanzisha Thread Hii kujadili makundi makuu manne ya watu mahala popote pale unapokua

  1. Melancholy
  2. Choleric
  3. Sanguine
  4. Phlegmetic

Nikirudi nitadadavua kila kundi kwa uchache, but nikupe changamoto utafute haya makundi na ujijue uko kundi gani

Hayo siyo makundi ya watu au tabia bali ni makundi ya mienendo ya binadamu namna yanavyo athiri tabia. Soma hapa tafsiri toka wikipedia

In psychology, temperament refers to those aspects of an individual's personality, such as introversion or extroversion, that are often regarded as innate rather than learned. A great many classificatory schemes for temperament have been developed; none, though, has achieved general consensus in academia.

Historically, the concept of temperament was part of the theory of the four humours, with their corresponding four temperaments. The concept played an important part in pre-modern psychology, and was explored by philosophers such as Immanuel Kant and Hermann Lotze. David W. Keirsey also drew upon the early models of temperament when developing the Keirsey Temperament Sorter. More recently, scientists seeking evidence of a biological basis of personality have further examined the relationship between temperament and character (defined in this context as the learnt aspects of personality). However, biological correlations have proven hard to confirm.
 
Mi ni mchanganyiko wa Melancholy na Sainguine,wagiriki wa kale waliogundua temperament hizi walitumia akili sana na asili ya kila temperament ipo.Kwa mfano Phlgmatic ina asili ya neno la makamasi,na katika hao wanne kuna outgoing,viongozi,wapole.Waliofanya utafiti huo nitawapa majina nikikumbuka kwani kuna hiyo ya 4 temperaments ambayo ni old na modern.:thinking::scared::sleepy:
 
Asante kwa kutujuza hilo, Ila hizo si aina za watu ila ni aina za personalities za watu au kwa kiswahili ni aina za haiba za watu. Utakaporudi kudadavua uwe unajua hakuna mwenye haiba moja tu, ila mtu mmoja anaeweza kuwa na haiba zote yaani
  1. Melancholy
  2. Choleric
  3. Sanguine
  4. Phlegmetic
Kinacho wafanya wataalam wamweke kundi fulani ni kutokana na haiba hiyo kutawala sehemu kubwa ya haiba ya mtu huyo.

Naanzisha Thread Hii kujadili makundi makuu manne ya watu mahala popote pale unapokua

  1. Melancholy
  2. Choleric
  3. Sanguine
  4. Phlegmetic

Nikirudi nitadadavua kila kundi kwa uchache, but nikupe changamoto utafute haya makundi na ujijue uko kundi gani
 
Wengi hawajui tabia zao elezea kwa undani ndo watu watajiweka katika makundi yao lakini najua hakuna mtu mmoja kuwa katika kundi moja tu ila atakuwa katikati ya kundi na kundi na huenda tabia ya kundi mojawapo kuzidi kidogo ndo labda kusema yuko kundi fulani.
 
Aje kufanya nini na watu washamliza hapa?????

May be alidhani ni kitu kipya...............kumbeeeeeeeeeee

Seminari za RC wanafundisha hayo kama sehemu ya malezi vijana wakiwa fiorm 2 ili wawezs kujitambua uwezo na tabia zao kwa ajili ya kujitayarisha kuwa viongozi wa kiroho na kijamii.
 
Watu ni mafungu mane,
Matatu hayako sasa,
Wamabakia vingwene,
Watu wasio siasa.
 
personality-and-individual-differences.gif
 
1.MELANCOLIN
Watu wa kundi hili (females and males) wana sifa zifuatazo
-wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
-ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
-wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
-ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi
-wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati
-Wanawajali sana wenzao hasa wanapokuwa katika shida na matatizo(i.e ndio maana hawa huwa waombaji –wanamaombi wazuri sana kiimani)
-Wana huruma sana na hawapendi kuona wengine wakionewa
-Wanajitolea kwa haraka na kwa dhati katika mambo ya wengine
-Huondoa uchungu wao kwa machozi (wakiumizwa hulia haraka, hasa kwa upande wa wanawake/wasichana)
-Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya (hata wakiwa darasanu si wepesi wa kunyoosha vidole ili kujibu maswali)
-Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa (mfano akitaka kuanzisha duka; badala ya kuwaza itakuwaje nikipata faida wanawaza itakuwaje kama duka litaibiwa ama kuungua moto, kwa maswali hayo anajikuta hata anafikia katika uamuzi wa kuahirisha uanzishaji wa mradi huo)
-Wakata tamaa wanapokosolewa.
-Wanapenda sana kutiwa moyo kiuhalisia.
-Wanapenda kusoma, kusikiliza, na kusimulia mambo yenye tafakari na uchambuzi wa kina (hawapendi umbea)
-Wanapotoa mawaidha mahubiri ama ushauri wengi(wanaosikiliza) huwa wanaguswa nao na hubadilika haraka kutokana na mawaidha hayo ama ushauri ama mahubiri hayo
-Hawapendi kuvunja taratibu, sheria za eneo husika.
-Wanapenda usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyao
-Ni wa vumilivu sana katika hali mbalimbali (mfano wanapoonewa ama kuumizwa)
-Hawapendi kufuatilia mambo ya wengine pasipo sababu za msingi.
-Ni kundi mojawapo linaloathiriwa sana na magonjwa ya mashinikizo kutokana na kuwa wanawaza sana
-Ni wagumu wa kusahau na hiyo imewasababishia kuwa wagumu wa kusamehe
-Wanaumia sana wanapokosea ama kushindwa jambo Fulani
-Wanajeruhika mioyo yao kirahisi (i.e wakiingiwa na pepo wabaya si rahisi kuwatoka kwa sababu ya kutunza uchungu kwa muda mrefu mioyono mwao)
-Wana busara na hekima nyingi
-Ni watu ambao wakiishika imani fulani wanajitahidi kuitimiliza sheria yote.
-Ni wepesi wa kutubia makosa yao na kutubu kwa ajili ya wengine.
-Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao
-Ni kundi la watu wanoridhika haraka
-Masikini wengi kiuchumi duniani ni wa kutoka katika kundi hili kutokana na uoga wao wa kuanzisha mambo kwa kuhofia kushindwa
-Watoto wanaozaliwa katika kundi hili inasadikiwa ni wengi huwa na ndoto za kufanikiwa mapema lakini ni wachache mno ambao huweza kutimiliza ndoto zao kutoka na uoga wa kuanzilisha mambo mapya.
-Kundi linalopenda amani na utulivu
-Wanaogopa sana matatizo, vikwazo na changamoto
-Katika familia baba na mama wakiwa melancolin upo uwezekano mkubwa kwa watoto kuharibika maadili kwa sababu hawa melancolin si wepesi wa kuadhibu
-Mara nyingi hupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa
-Hawapendi kumueleza kila mtu mambo yao binafsi
-Ni kundi la watu wenye marafiki wachache
-Wakati mwingine hupenda kujikataa.
-Ni waaminifu na wasema ukweli
-Wanapenda kusaidia wengine kupita hata uwezo wao
-Ni waaminifu sana kwa mambo ya kawaida na yale ya kiimani
-Hawapendi kujionesha mbele ya macho ya watu
-Hawa hawafai kuwa viongozi (si wazuri sana) kwa sababu wanapenda kusikiliza na kutafakari kila wanachoshauriwa hivyo hujikuta kuwa wanayumba kimisimamo. (mfano kama mkurugenzi/mwenyekiti wa eneo Fulani akiwa ni melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick
-kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tama mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani]
-Wanauhesabu upendo wa dhati kutokana na mambo wanayofanyiwa na sio kuambiwa (wanafurahia sana vitendo kuliko maneno}
-Kwa upamnde wa wasichana inasemekana kuwa ndio ambao wanasumbuliwa zaidi na maumivu ya hedhi, na kujifungua
 
Naanzisha Thread Hii kujadili makundi makuu manne ya watu mahala popote pale unapokua

  1. Melancholy
  2. Choleric
  3. Sanguine
  4. Phlegmetic

Nikirudi nitadadavua kila kundi kwa uchache, but nikupe changamoto utafute haya makundi na ujijue uko kundi gani

Msaada Tafadhali Mimi Hapo Nipo Wapi Mkuu? Nidadavulie Please!
 
Sipo hapa kabisaaa

Kundi la wakuda hili
 
Back
Top Bottom