Aina kuu nne za watu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Naanzisha Thread Hii kujadili makundi makuu manne ya watu mahala popote pale unapokua

Tabia hizo ni kutawala (Choleric – Dominance), mhamasishaji (Sanguine - infuluencing), asiyeyumbishwa (Phlegmatic (steadiness) na mstaarabu (Melancholy - compliane).

Nikirudi nitadadavua kila kundi kwa uchache, but nikupe changamoto utafute haya makundi na ujijue uko kundi gani
 
Mimi ni SINGUINE (Simba)
Hupenda kuchangamka kwa watu asiowafahamu, pia hupewa sifa zisizo zake.
Hasira huja haraka na ya muda mfupi.
Hupenda mambo yasiyomuhusu ilo ayaelezee!!
Hupenda majadiliano ya makusudi.
Hana siri, mambo yake kukosa mpangilio, ana wivu kijicho, hufikiri kabla ya kusema.
 
[h=3]Phlegmatic[/h]The phlegmatic temperament is fundamentally relaxed and quiet, ranging from warmly attentive to lazily sluggish. Phlegmatics tend to be content with themselves and are kind. They are accepting and affectionate. They may be receptive and shy and often prefer stability to uncertainty and change. They are consistent, relaxed, calm, rational, curious, and observant, qualities that make them good administrators. They can also be passive-aggressive.
 
Individuals are just too complex to be framed into 4 categories... watu hubadilika kutokana na mazingira, na hata katika mazingira yale yale mtu yule yule anaweza akabehave tofauti. Mi napendekeza huyo author aseme 4 types of human behaviors, na aongeze kua they are not separate, ila behaviors swing from one to the other...
 
Mkuu inabidi urudi utuelezee hayo makundi uliyoyataja, pia ingefaa kuelezea classification yako inasimamia wapi, nahisi kama upo kisaikolojia au kisosholojia.
 
hebu kaka rudi hapa utudadavulie hii kitu yako. maanake mimi hata sielewi kabisa una maana gani na haya maneno yako. maana yake mimi nimecheki kwenye dictionary naona yana maana ya kawaida tu. labda ungetuelezea kiundani zaidi unachotaka ku-portray hapa.
 
Hakuna mtu ambaye ni aina moja tu ya character type. Tulio wengi ni mchanganyiko fulani wa character types mbili au zaidi, japo inakuwapo moja ambayo inakuwa dominant. Kwa hiyo inakuwa sahihi zaidi mtu akisema huyu anaelekea kuwa Melancholy zaidi kumaanisha character trait hiyo ndiyo dominant; kwani mtu huyuhuyu anaweza kuonesha traits za Phlegmatic katika circumstances fulani fulani. Hakuna ambaye anakuwa character traint moja tu. Wanasiasa wengi ni mchanganyuiko wa Sanguine na Choleric, wakati ma-administrators wengi huwa ni mchanganyiko wa Phlegmatic na Melancholy. Inasemekana moja ya sifa muhimu kwa mtu kuwa analysit ni percentage ya U-melacholy kuwa juu. Sanguine na choleric si analytical kabisa! Na hii ndiyo maana wanasiasa wengi ni prone to blunders. Wengi wao huongea hata kabla ya kutafakari mambo sawasawa.


Naanzisha Thread Hii kujadili makundi makuu manne ya watu mahala popote pale unapokua


  1. Melancholy
  2. Choleric
  3. Sanguine
  4. Phlegmetic

Nikirudi nitadadavua kila kundi kwa uchache, but nikupe changamoto utafute haya makundi na ujijue uko kundi gani
 
Phlegmatic

The phlegmatic temperament is fundamentally relaxed and quiet, ranging from warmly attentive to lazily sluggish. Phlegmatics tend to be content with themselves and are kind. They are accepting and affectionate. They may be receptive and shy and often prefer stability to uncertainty and change. They are consistent, relaxed, calm, rational, curious, and observant, qualities that make them good administrators. They can also be passive-aggressive.

I think I am in this category...
 
Ha ha ha! Inaelekea una usongo na chadema, eti e? unajua lakini ccm na chadema ni watoto wa baba mmoja.
 
Mimi ni SINGUINE (Simba)
Hupenda kuchangamka kwa watu asiowafahamu, pia hupewa sifa zisizo zake.
Hasira huja haraka na ya muda mfupi.
Hupenda mambo yasiyomuhusu ilo ayaelezee!!
Hupenda majadiliano ya makusudi.
Hana siri, mambo yake kukosa mpangilio, ana wivu kijicho, hufikiri kabla ya kusema.

duh mkulu anafiti hapa...........
 
Naanzisha Thread Hii kujadili makundi makuu manne ya watu mahala popote pale unapokua


  1. Melancholy
  2. Choleric
  3. Sanguine
  4. Phlegmetic

Nikirudi nitadadavua kila kundi kwa uchache, but nikupe changamoto utafute haya makundi na ujijue uko kundi gani

Ungeweka kwa lugha raisi ingependeza zaidi
 
We would have seen it in Angola, Nigeria or Equitorial Guinea, Gabon and the list goes on............ Kupata kwao mafuta ndio kutatufanya tusijue hata la kuwafanya. Imagine The French govt pamoja na ukubwa na umakini wake lakini wameifanya nini elf waliyothibitisha kabisa kwamba imekuwa ikihonga viongozi Gabon na Angola. BP as well imefanya shughuli chafu sana Angola and the brits knows it lakini kimefanyika nini? And now comes my motherland, do we even hve leaders with balls hata wa kukaa tu na wawakilishi wa hawa jmaa in tha boardroom!!!!!!!

Na kwa mwendo huu tunaoenda watz makampuni haya yakiona interest zao zinatishiwa wako tayari hata kuinjinia vita......... And we shouldn't count ourselves the smartest in comparison to other countries in Africa zilizowahi kutumbukia kwenye hiyo messy.

ALL IN ALL NAZIDI KUMKUMBALI JULIUS KAMBARAGE NYERERE. HAKUWAPA NAFASI KABISA HAWA MATAPELI KUCHEZA KWENYE TERITORY YAKE
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom