Aina gani ya fridge ni nzuri???

MzungukoMnangani

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
303
81
Habari wadau wa jukwaa hili,ombi langu kwenu ni kutaka kujuzwa aina nzuri ya fridge(friji) ambalo halili umeme mwingi,liwe imara,lina tunza mazingira,gesi yake iwe inapatkana kwa urahisi,napendelea liwe dogo la wastani mana nahtaj kwa ajili ya ku2nzia vyakula vyangu mwenyewe.Liwe la gharama nafuu tafadhalini,awasilisha!
 
LG na SAMSUNG,,,
 
Hahahaaaa, WAMEKUDANGANYA au na wao hawajui.

Ni sawa na mtu anakuuliza, koti gani linafaa kwenye milima ambako kuna Snow, na mtu anajibu JEUSI.

Inawezekana kweli hilo likawa jibu sawa kwa hizo LG na Samsung zenu. Ila jibu halijaenda SHULE.

Kwenye mambo ya ENERGY, wanaweka (angalia zaidi BULB/Taa) wanaweka makundi, A, B, C, D, etc.

Katika hilo la A, ina maana bulb inakula umeme kidogo na kuzalisha joto kidogo pia.

Kwenye Friji, mara nyingi wanacheza na A. Hivyo basi hata hizo A za Friji zimegawanyika...... Ngoja nikupakulie moja kwa moja kutoka Wikipedia.

Refrigerators, freezers and combined appliances

Here is the table that indicates the energy use index, the index is calculated for each appliance according to its consumption and its compartments' volume taking into account the appliance type. The index is thus not calculated in kW·h.
A+++ A++ A+ A B C D E F G (Classification)
22 30 42 55 75 90 100 110 125 125 (Index).
The label also contains:

  • the annual energy consumption in kW·h per year
  • the capacity of fresh foods in litres for refrigerators and combined appliances
  • the capacity of frozen foods in litres for freezers and combined appliances
  • the noise in dB(A)
For cold appliances (and this product alone), for models that are more economical than those of category A, categories A+ and A++ have been assigned.

Hilo ndiyo jibu sahihi na unatakiwa kutafuta kwanza A+++ ila ukiona hela yako nyembembe, zidi kushuka chini kwenye akina A+ kama siyo A. Wakati mwingine wanaandia AAAA au AAA.........

Inapokuja kwenye uimara, inaweza kuwa model imara sana ila wewe ukawa na bahati mbaya na inaweza kuwa model mbovu na wewe ukapata ile imara. Haya mavifaa hayana uhakika sana.
Jina la kampuni, inategemea upo wapi. Kwa Africa na Asia, hao akina LG na Samsung ndiyo wanatamba ila kwa nchi za Ulaya na USA, wanakuja watu kama akina BOSCH, ELECTROLUX, WHIRLPOOL, ARISTON nk. Ila hao wa mwanzo, bei zao huwa si nzuri sana ila ni imara.
 
Tnx sikonge 4 yo gud analysis bt naomba uniweke sawa kdogo,izo A zinakaa upande gan?pliiz nisaidie mana uko nondo mbaya.
 
Yap Sunshow,wa2 wengi wamenigusia juu ya uimara wa product za LG,ntajarbu kuzchek nikichanganya na mautundu ya mkuu Sikonge
 
Product za sumsung haswa mafriji bado cjapata analysis ya kutosha so nimwagie maujuzi kama una2mia hii product mkuu
 
Sikonge halafu kuna baadhi ya fridge esp hizi ndogo hazna bulb so tunaangalia sehemu gani?Usichoke kunisaidia
 
Mimi mtazamo tofauti kidogo katika kipengele cha uimara ila maeneo mengine tupo sawa, kwa uimara ni vema uchukue Westpoint kwanza mafredge yao yote ni non frost, pili yanatumia muda mfupi sana kuweka ubaridi kwenye kitu au kugandisha, tatu compressor zao hazitoi kelele sana ukilinganisha na hizo zilizotajwa, nne hazitoi joto sana pembeni ya au kulizunguka na fredge. Bora hata ya ZEC kuliko LG na Sumsung, kuna jamaa yangu alipewa zawadi ya fridge aina ya LG ambalo lilinuliwa Mlimani City aliteseka nalo balaa mpaka sasa ameliweka kama mapambo. Lg na Sumsung nyingi zinazokuja bongo si nzuri.
 
Ni kweli mkuu,mim nina Westpoint mwaka wa tatu,yan saaafi
 
Jamani Mimi nataka kununua Fridge aina ya Boss mlango wa kioo boss 310 au boss 300 niambieni kama ni nzuri Nina West point mwaka 15 haijahatibika ila imeoza nataka kitu kipya ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom