AIG mashabiki wa man U mnasemaje?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
r-AIG-large.jpg


AIG is not a US company, 80% of their business is outside. So why is US populace bailing them out? Or if it is such a sweet deal, why doesn't ECB ask for a piece of the action?

The stench is spreading beyond the barn. Anyway mjadala zaidi tunauendeleza hapa:

https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/17999-lehman-brothers-your-predictions.html

so if you have any idea whats going on mnakaribishwa ...

article-1056283-02AD4FA800000578-284_468x516.jpg
 
Kuanguka kwa AIG kilio chake kingeacha mamilioni ya Wamarekani wakiwa katika hali mbaya sana na makampuni mengi yangeathirika na pia kuweza hata kufilisika. Ndiyo maana Federal Govt imeona kuna umuhimu mkubwa wa kuwakopesa pesa za walipa kodi$85 billion kwa riba ya 11.5% kwa miezi 24. Sijui kama mkopo huu utaisadia AIG isianguke maana hali bado ni mbaya na haijulikani hii blood shed itaendelea vipi inawezekana kabisa pesa hiyo ikawa ni pata potea.
 
Man Yu kwa makelel maana nilikuwa naombea sana waanguke hao AIG...after all there is only one club in MANCHESR nayo ni MAN CITY

kwani nani aisiyejua kuwa MAN U haiko Manchester?
 
GT,
Mkuu ulikuwa unategemea na sisi tungeenda bila mdhamini kama Hammers?
mwenyewe na ushabiki wangu wote nimeshindwa kuelewa inakuwaje Uncle Sam kaamua kuwabail out...lakini kuanguka kwa AIG kungeleta mtafaruku wa hali ya juu. Inabidi nifuatilie kunaweza kukawa na kaushikaji kati ya Bush, na kina Glazers.
cover_650x435.jpg
 
Pine St paparazzi kibao, to say that the foundation of western finance is on shaky grounds is a gross understatement, more like there is no foundation at all!
 
Nafikiri kuwa-bail out AIG kume rescue financial woes zaidi katika stock excchange ila still am doughting how sustainable will that be?, nevertheless nashangaa kwanini Lehmann Brothers wamekosa 'mkono' wa kuokolewa from the Government na AIG wakapata?

GT, Manutd its a Big Club bwana, sihitaji kukumbusha hilo, wakitoka AIG sina shaka kutakuwa kutakuwa na Makampuni Kibao yatakuwa yamepanga msululu wa kutaka kuidhamini! Just wait and see..!
 
Back
Top Bottom