Aids - a man made disease to control world population?

Niliposoma heading ya thread i thot kua juzi kati VOR karusha a related topic...

I think it would have been better hio attachement u post katika hio thread.

Would have been so logical and beneficial kwa wengi....
 
Agh! Sijui nilikuwa nafikiria nini? Your right Ashadii, kama kuna njia ya kuunganisha hizi threads ningependa kuwaomba Mods wafanye hivyo.
 
Eeh MamaParoko you r so kind...Nilitegemea hapo ujitetee kama nini! Nimependezwa an responce yako!

Mod Unganisha ...

Mama P ..Kitabu karibu namalizia kusoma ... kina nondo ile si mchezo!! Nitatoa hoja baadaye ... nategemea umekipitia pia!!
 
Bahati mbaya nimesoma first few pages, naendelea kusoma kidogo kidogo, but kama haya yanayosemwa yana chembe ya ukweli, kazi tunayo watu wa dunia ya 3.
 
Kwa kweli taarifa hizi ... ukijumuisha na nyingine ambazo tayari zipo ... Ni mchanganyiko mzuri!!
 
Back
Top Bottom