AICC Hospitali Arusha...Rekebisheni Hii Kitu!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Hospitali ya AICC Arusha ni moja ya hospitali za Private za hadhi ya juu kabisa mjini Arusha na hakika mazingira yake ndani na nje ni sehemu ya tiba.
Pamoja na sifa hizo, nawaomba AICC wekeni TV sets kwenye maeneo ya mapokezi na pale kwenye foleni za kuingia kwa madaktari ambako kuna foleni kubwa za watu!
Ni ishu ndogo tu lkn amini usiamini inaleta psychological healing kwa mgonjwa, tofauti na sasa ambapo watu wanasinzia hadi kumwaga udenda kwenye mabenchi, without anything to keep them at least busy!
 
Back
Top Bottom