Asubuhi Precision wana abiria foleni hadi nje,umeme ulirudi saa 10 lakini still bado unakatika
Duh! Vituko nchi hii haviishi! What is left to prove our stupidity!
Kila uchaguzi una matokeo kama vile kupanda mbegu kuiivyo na matokeo. Iweje waliopanda washangazwe na mavuno yao au wale waliochagua na chaguo lao?
Mkuu Kitila, hivi kuna kituko gani kwenye kula bwabwa lililonona kwa "nazi" tuliyopanda siye wenyewe??!
Oooh, nimesahau... hatujui namna ya kutumia "vifuu" vya nazi hizi kufulia moto na umeme!!!
Huku tukitabasamu kwa shauku bila wasi "mavuno" ya zao letu!!