WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
itakua walimfanyia candle lite departure. very romantic,anaenda fungate?

King'asti kwa vituko tu! lol.... ulikwa unawaza nini hasa?
itakua walimfanyia candle lite departure. very romantic,anaenda fungate?

Habari za kuthibitika kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere uliopo Ukonga Dar-es-Salaam hakuna umeme na generator yake haifanyi kazi hivyo wanatafuta jenereta nyingine wafunge ili kuwe na mawasiliano kwani tangu jioni ya leo hakuna ndege inayoingia wala inayotoka.. Wasafiri wa usiku huu wataondoka kesho saa tatu asubuhi..
poleni wasafiri mlioguswa na hili.
Tunavuna tulichopanda... Stay tuned, dont touch that dial, more to come... Mishipa ya aibu ilishakatika miaka mingi iliyopita, sasa tunakwenda kama mtu aliyekatwa kichwa!
Lakini ni aibu na inatia hasira maana kila kukicha tunasikia madudu wanayofanya viongozi wetu.
Habari za kuthibitika kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere uliopo Ukonga Dar-es-Salaam hakuna umeme na generator yake haifanyi kazi hivyo wanatafuta jenereta nyingine wafunge ili kuwe na mawasiliano kwani tangu jioni ya leo hakuna ndege inayoingia wala inayotoka.. Wasafiri wa usiku huu wataondoka kesho saa tatu asubuhi..
poleni wasafiri mlioguswa na hili.
Mimi ni muhanga na ninaandika toka Adis Abbab International airport, bado nipo hapa kwakuwa nimeshindwa kuunganisha ndege niliyopaswa kuunganisha asubuhi. Ndege yetu haikutumia kama ilivyotarajiwa saa nane usiki hapo DIA badala yake ilibidi iende Zanzibar. Ni aibu sana. Taa zilizimika uwanja mzima na sababu ya ndege kushindwa kutua nikukosekana kwa taa za kuongozea ndege katika run-way. Je nani atazilipa ailines gharama za ziada za kutua viwanja vingine, gharama za ziada za mafuta, gharama za ucheleweshwaji wa abiria na kushindwa kuunganisha ndege zao kwenye viwanja mbalimbali Duniani, kama sisi tumepelekwa hotel sasa je nani anapaswa awajibke. Mimi nimechelewa kutoa mada katika workshop je nimlaumu nani, CEOs wengi wameshindwa kuhudhulia business meetings, je nani alaumiwe? Hivi mathalani ndege ipo tayari kwakutua ghafla taa za kwenye run-way zinazimika, what will happen? Najaribu kuelezea impact zinazotokana na kitu ambacho wao wa DIA wanadhani ni kidogo kumbe athari zake ni kubwa sana. Kwakweli tunaomba hili lishughulikiwe baada DIA ndio only Gate-way ukiondoa KIA ambapo wageni wengi wa Kimataifa huingilia hapo, tunania aibu sana.Habari za kuthibitika kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere uliopo Ukonga Dar-es-Salaam hakuna umeme na generator yake haifanyi kazi hivyo wanatafuta jenereta nyingine wafunge ili kuwe na mawasiliano kwani tangu jioni ya leo hakuna ndege inayoingia wala inayotoka.. Wasafiri wa usiku huu wataondoka kesho saa tatu asubuhi..
poleni wasafiri mlioguswa na hili.
Nategemea muda wowote Ikulu itakosa umeme. Hili bonge la aibu. Ngeleja shame on you.
kuna mbegu zingine zinaendelea kupandwa huko

Mimi ni muhanga na ninaandika toka Adis Abbab International airport, bado nipo hapa kwakuwa nimeshindwa kuunganisha ndege niliyopaswa kuunganisha asubuhi. Ndege yetu haikutumia kama ilivyotarajiwa saa nane usiki hapo DIA badala yake ilibidi iende Zanzibar. Ni aibu sana. Taa zilizimika uwanja mzima na sababu ya ndege kushindwa kutua nikukosekana kwa taa za kuongozea ndege katika run-way. Je nani atazilipa ailines gharama za ziada za kutua viwanja vingine, gharama za ziada za mafuta, gharama za ucheleweshwaji wa abiria na kushindwa kuunganisha ndege zao kwenye viwanja mbalimbali Duniani, kama sisi tumepelekwa hotel sasa je nani anapaswa awajibke. Mimi nimechelewa kutoa mada katika workshop je nimlaumu nani, CEOs wengi wameshindwa kuhudhulia business meetings, je nani alaumiwe? Hivi mathalani ndege ipo tayari kwakutua ghafla taa za kwenye run-way zinazimika, what will happen? Najaribu kuelezea impact zinazotokana na kitu ambacho wao wa DIA wanadhani ni kidogo kumbe athari zake ni kubwa sana. Kwakweli tunaomba hili lishughulikiwe baada DIA ndio only Gate-way ukiondoa KIA ambapo wageni wengi wa Kimataifa huingilia hapo, tunania aibu sana.