Aibu...Placement ya Mabango ya CCM

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,489
86,005
Jamani, kila ninapopita hapa mjini na mikoani, CCM wameweka mabango yao either kwa waosha magari wa mitaani au wafanyabiashara ndogondogo ( hasa katika maeneo ambayo hayaruhusiwi)

Swali. Je ni kweli wanaipenda CCM au wanatumia kivuli cha CCM kuvunja sheria? Na kama hivyo ndivyo...basi CCM ni genge la wavunja sheria???

Assignment: Ukitoka kazini leo, au kwenye mizunguko yako, jaribu kuangalia picha za wagombea( sio zote) walio wengi wa ccm utaona zimewekwa kwenye maeneo yasio ruhusiwa kufanyiwa shughuli hasa za kibiashara, kwenye magari basi ujue hilo gari ni la mhindi au mjomba ake mwarabu.
 
Kuna bango limewekwa sehemu flani linamwonyesha kikwete na mmama mmoja limeandikwa Upendo kwa MAMA sijalielewa!
 
wanadai mama yake yule. mama na mwana..JK udogoni kumbe alishaanza mapoziiii
 
Anajikosha...kama kweli anampenda mama yake basi aakubali kushindwa asije kumliza mama wa watu bure....kulikuwa na kale ka-kashfa kwamba zile picha ni mali ya Ikulu si za CCM, hivi iliishia wapi
 
Back
Top Bottom