Aibu: Mwanaume afumaniwa na mke wa mtu gesti akiwa uchi wa mnyama

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
AIBU: MWANAUME AFUMANIWA NA MKE WA MTU GESTI AKIWA UCHI WA MNYAMA

Habari kamili zilizonaswa na waandishi wetu ni kwamba mwanaume aliyetajwa kwa jina la Baba Asha alidai kumfumania rafiki yake wa karibu, Baba Tony akiwa gesti na mkewe (jina linahifadhiwa), tayari kwa kuvunja naye amri ya sita.

Tukio hilo la aibu ya milenia lilijiri katika nyumba ya kulala wageni ya Pumzika iliyopo maeneo ya Msimbazi Center, jijini Dar ambapo mara baada ya kumtia mikononi ‘mwizi' wake ambaye mbali na urafiki pia ni majirani, ndipo akamchakaza sura vibaya na kumsababishia kuvuja damu.

Habari za kina zilidai kuwa mke wa Baba Asha alikuwa bafuni akioga, mara ukaingia ujumbe mfupi ‘sms' kwenye simu yake ya kiganjani, ndipo mumewe akachukua kilongalonga hicho na kuufungua ujumbe huo.

Ilidaiwa kuwa mume alitaharuki kukutana na ujumbe uliokuwa ukimtaka mkewe kwenda Pumzika Guest House kukutana na jamaa huyo.

Iliendelea kudaiwa kuwa Baba Asha hakuyaamini macho yake, akausoma tena ule ujumbe na ndipo akagundua sms nyingine nyingi, vocha na fedha za mtandao alizokuwa akitumiwa mke wake kutoka kwa Baba Tony.

Chanzo kilidadavua kuwa baada ya kugundua mchezo mzima, Baba Asha akatulia na kumsubiri mkewe atoke bafuni ili kuliweka sawa suala hilo.

Ilifahamika kuwa mke aliporudi kutoka kuoga, mume hakuonesha dalili zozote, alichokifanya ni kumwita mkewe na kumwambia kuwa achague moja, kufungasha kilicho chake, aondoke nyumbani kwake au amwekee jamaa mtego anaswe ili ajue mke wa mtu ni sumu.

Jibu lilikuwa rahisi kwani alikubali kuweka mtego ili amnase mbaya wake ndipo atamsamehe.

Ilifahamika kuwa ilipita wiki moja kimyakimya kwani mara ya kwanza Baba Tony alichezwa na machale, alipofika kwenye gesti hiyo na kumwona mtu anayemfahamu, alimwambia yule mwanamke waahirishe.

Habari za uhakika ni kwamba wiki iliyopita, Baba Tony aliingia kwenye kumi nane, akajaa mzimamzima kwenye mtego wa fumanizi uliowekwa na Baba Asha na mkewe.

Mara baada ya kuona mwanaume mmoja (Baba Asha) akiwa na askari kwenye gesti hiyo akihaha, king'ora kililia kwenye akili ya mwandishi wetu ambaye hakufanya makosa, akamfuata mfumaniaji kwa nyuma hadi aliporuhusiwa kumfuata mkewe chumbani.

Chumbani mtiti ulikuwa mkubwa ambapo Baba Tony alikutwa kama alivyozaliwa huku mke wa mtu akiwa bado hajavua na ndipo mtiti ukaanza.

Katika purukushani, Baba Asha alimpa kibano ‘mwizi' wake hadi akamchana usoni na kumng'oa meno ya mbele, jambo lililosababisha kutokwa na damu nyingi.

Kama hiyo haitoshi, ili kuthibitisha kuwa mke wa mtu ni sumu, Baba Asha alimchoma jamaa huyo bisibisi kwenye makalio hadi askari alipoingilia kati na kumchukua mtuhumiwa kisha akamtoa nje.

Wakiwa nje ya gesti hiyo, Baba Tony aliomba kujisafisha damu na baada ya hapo alipigwa pingu tayari kwa kupelekwa Kituo cha Polisi, Pangani, Ilala...

Chanzo. GPL

Hizi street justice hizi ! Huyo mke naye aliyekuwa anaaccept vocha na mengineyo naye ni laana pia

Huyo baba Tony angedeal na mkewe tu, ni kujiabisha haya mafumanizi

Sasa bisibisi ya makalio...jamaa hana mke maana naona ni baba Asha ah!
 
kweli hii ni aibu, kakitu kadogo kanafanya upigwe na kuvuja damu hivyo wakati ngono za bure ziko nyingi kikubwa umnunurie bia tu...ukute nae ana mke na watoto....
 
Kwanza haya maeneo yenyewe nu uswahilini na kuna kota kibao na hiyo gest yenyewe ni chafu knoma kwa kifupi hiyo gest inahistoria yakufumaniwa watu kwani pale chumba ni elfu 5 na milango yenyewe ni mibovu yote ina vitasa nya mbao kama banda la mbwa
 
Hahahaha. Yaani umenichekesha. sasa vile milango mibovu s inabidi kusukuma kitanda nyuma ya mlango? Kuna mapazia?
Kwanza haya maeneo yenyewe nu uswahilini na kuna kota kibao na hiyo gest yenyewe ni chafu knoma kwa kifupi hiyo gest inahistoria yakufumaniwa watu kwani pale chumba ni elfu 5 na milango yenyewe ni mibovu yote ina vitasa nya mbao kama banda la mbwa
 
Hizi street justice hizi ! Huyo mke naye aliyekuwa anaaccept vocha na mengineyo naye ni laana pia

Huyo baba Tony angedeal na mkewe tu, ni kujiabisha haya mafumanizi

Sasa bisibisi ya makalio...jamaa hana mke maana naona ni baba Asha ah!

atleast mmoja wao kaadhibiwa!
 
Hizi street justice hizi ! Huyo mke naye aliyekuwa anaaccept vocha na mengineyo naye ni laana pia

Huyo baba Tony angedeal na mkewe tu, ni kujiabisha haya mafumanizi

Sasa bisibisi ya makalio...jamaa hana mke maana naona ni baba Asha ah!

angemwambia huyi mumewe mbina hii kama mara ya 20
 
Wake za watu kweli ni noma lakini tatizo lao ukishawaonja tu wanakuwa ving'ang'anizi mno, kuna moja niliipitia mara 1 tena nje ya mkoa tunaoishi na sharti hilo alitoa yeye kwa sasa anataka nimpe tena hapahapa mkoani kwetu nami sipo tayari kuendelea naye lakini kila nikimshauri tuwe marafiki wa kawaida tu anadai niache uoga jamaa hawezi kutushitukia, kama sio kunitafutia jamaa anijazie mtiti na kuliwa KABAAANG ni nini?
 
Mke wa mtu ni sumu kaka.
 
hizi shigongo type weka mbali na hili jukwaa hapa mazito tu.
 
Mzizi habari za kufumaniana sijui unazitoa wapi. U like these stories dude!
 
Hizi street justice hizi ! Huyo mke naye aliyekuwa anaaccept vocha na mengineyo naye ni laana pia

Huyo baba Tony angedeal na mkewe tu, ni kujiabisha haya mafumanizi

Sasa bisibisi ya makalio...jamaa hana mke maana naona ni baba Asha ah!

Angekuwa mtu baki unamwacha tu unadeal na mkeo, lakini kama nirafiki yako wa karibu anakuibia mkeo hiyo ni habari nyingine, kung'olewa meno ya mbele ni wazo zuri sana kwa sababu akiwa anatongoza kila atavyotabasamu mapengo yake yatamkumbusha kuwa mke wa mtu ni sumu!
 
Wake za watu kweli ni noma lakini tatizo lao ukishawaonja tu wanakuwa ving'ang'anizi mno, kuna moja niliipitia mara 1 tena nje ya mkoa tunaoishi na sharti hilo alitoa yeye kwa sasa anataka nimpe tena hapahapa mkoani kwetu nami sipo tayari kuendelea naye lakini kila nikimshauri tuwe marafiki wa kawaida tu anadai niache uoga jamaa hawezi kutushitukia, kama sio kunitafutia jamaa anijazie mtiti na kuliwa KABAAANG ni nini?

Nimecheka saana, unaogopa kuliwa KABAANG!!!? Wallah mi nikikamata mtu anakula mke wangu lazima aliwe KABAANG live on camera!
 
Kwanza haya maeneo yenyewe nu uswahilini na kuna kota kibao na hiyo gest yenyewe ni chafu knoma kwa kifupi hiyo gest inahistoria yakufumaniwa watu kwani pale chumba ni elfu 5 na milango yenyewe ni mibovu yote ina vitasa nya mbao kama banda la mbwa

haha hahah we mteja wa kudumu wa gesti hiyo nini?poleni wahanga
 
Angekuwa mtu baki unamwacha tu unadeal na mkeo, lakini kama nirafiki yako wa karibu anakuibia mkeo hiyo ni habari nyingine, kung'olewa meno ya mbele ni wazo zuri sana kwa sababu akiwa anatongoza kila atavyotabasamu mapengo yake yatamkumbusha kuwa mke wa mtu ni sumu!

Nadhani jamaa anastahili adhabu ya kung'olewa meno na macho kabisa kama ingewezekana.. How can u screw ur friend's wife of all da people..! Wanawake wote hawa wasioolewa mpaka ukatembee na mke wa rafiki yako..! Ni uchafu uchaf uchafu.. Anastahili kuka baangiwa huyo..
 
wake wengi za watu ni ch.upi mkononi thats why wangegedwa hovyo hovyo, wala huwatongozi mara mbili nadhani ni kutokana na kuzoea dushe

Back
Top Bottom