Aibu kwa serikali yetu

dengeru

Member
Oct 1, 2009
52
7
wakati kikwete akihutbia leo sabasaba alikuwa antumia lugha ya kiswahli halafu mkalimani akawa anaitafsiri kwa kibrazili kwa raisi wa brazil,akaja raisi wa brazil kuzungumza mkalimani akawa anaitafsiri kwa kiingerza kwa kikwete,hapo ndo niliposhangaa,kwani kikwete lugha yakeni kiingereza?
 
Back
Top Bottom