Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

moforoo

New Member
Nov 26, 2013
4
29
Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa Idara hiyo hawawezi kupata ajiya ndani ya Idara hiyo ya Serikali. Majina ya wengi walioitwa kazini ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo.

  1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
  2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Aleluya Kishe
  3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd
  4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Joseph Kasike
  5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
  6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
  7. Issack Michael Makwinya – mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Makwinya
  8. John Alfred Mungulu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
  9. Joseph A. Milambo - mtoto wa Karani wa Uhamiaji Milambo
  10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa Uhamiaji John Choma
  11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa Uhamiaji Zakayo Mchele
  12. Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa Uhamiaji Mgonja
  13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Adam Kidesu
  14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Edward Martin
  15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Mahirane
  16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Lucian
  17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Kajura
  18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Magnus Ulungi
  19. Janeth John Milinga – Ndugu wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
  20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Eliza Lukuwi
  21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Mary Yondani
  22. Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa Uhamiaji Abbas Irovya
  23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Mlula
  24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
  25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa Afisa Uhamiaji Gambadu
  26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa Martin Edward mwenda
  27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa Ernest Kalunde
  28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
  29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
  30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa Afisa Lucy Mapunda
Hii ni sampuli tu yaani nimeorodhesha moja ya tatu tu kwani zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa Uhamiaji.
Nadhani ingekuwa vyema wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.
Alamsiki.
 
Mungu wangu baba yangu peasnt sina kazi na llb na masters ya law ndo namalizia law school pia nimemaliza nikakamatwa somo moja legal drafting nasubili majibu kila kazi ni kujuana nssf nimeomba kule ndo kumejaa undugu jaman mtusaidie
 
Hivi watoto hao kama wana sifa hawaruhusiwa kuomba nafasi hiyo kwa sababu Baba, Mama, shangazi, Mjomba anafanya kazi au ni mtumishi wa Idara ya Uhamiaji??????????????????????
 
Hapana Mkuu, inaweza kuwa kweli maana Na. 25 kuna Afisa Uhamiaji alikuwa pale JNIA mwenye jina kama hilo, kwa mantiki hiyo, naweza amini.

Hatari sana sana hata kama wana haki ya kuapply bado ni biassness kubwa mno, anyway ndio mana ujambazi na rushwa haviwezi isha watu wanaona tuu
 
Hivi watoto hao kama wana sifa hawaruhusiwa kuomba nafasi hiyo kwa sababu Baba, Mama, shangazi, Mjomba anafanya kazi au ni mtumishi wa Idara ya Uhamiaji??????????????????????

acha ukilaza wewe inamaana kati ya 20000 walioomba hao wenye vinasaba ndio wawe na vigezo hata kama coincidence sio kihivyoo.
Tena wewe unaonekana upo na unaexist kwa nepotism thats why....
wengine tumeingia hasara ya pesa nyingi kuwasafirisha wadogo zetu kutoka vijijini....
alafu unakuja na komenti zako za kipuuzi.
 
Uhamiaji ni zaidi ya uijuavyo.Nashukuru Mungu nilishtuka mapemaaaa nikaona bora niwaachie wengine waombe lakini mimi hapana.Sipendi hata siku moja kuomba kazi ambayo naona waziwazi kwamba possibility ya kupata ni ngumu.Shame on them
 
Hivi watoto hao kama wana sifa hawaruhusiwa kuomba nafasi hiyo kwa sababu Baba, Mama, shangazi, Mjomba anafanya kazi au ni mtumishi wa Idara ya Uhamiaji??????????????????????

Dah basi hongera yao kwa kupiga usahil vizur hao ndugu zao
 
Hii ni kweli hao vijana ni watoto wa watumishi wa Uhamiaji baadhi ya watumishi hao ni;

John Choma ni mkuu wa chuo cha Uhamiaji Moshi,Mgonja ni kamishna wa utawala na fedha wa Uhamiaji,Mandemla ni Afisa uhamiaji yupo Namtumbo,Mahirane yupo Uhamiaji Rusumo,Ulungi yupo Uingereza aliwahi kuwa kamishna mkuu wa Uhamiaji,Ilovya ni msemaji wa Uhamiaji ,Tatu Burhani yupo Uhamiaji makao makuu kitengo cha habari,Kishe yupo Uhamiaji Namanga,Elizabeth Lukuwi yupo Uhamiaji mkoa wa DSM,mzee Milambo yupo makao makuu ya Uhamiaji kama mtunza kumbukumbu.
Wapo wengi sana mmoja kaingiza watoto wake wawili.

Haki hakuna na ni bora wasiwe wanatangaza hizo nafasi za kazi.
 
Majanga yani walichosha watu elfu kumi kumbe majina wanayo ama kweli mwenye nacho ataongezewa mwenye kisu kikali ndo anayekula nyama
 
Back
Top Bottom