aibu kusema wewe mtanzania

mara nyingi nikisafiri na sema mimi natoaka nigeria

Kitaalamu tunaamini unaumwa, ugonjwa huo unaitwa Syrestosoma chlroseytise.
Capillaries (mishipa midogo ) inayounga na mishipa mikubwa tokea shingoni haitupi damu vizuri kupelekwa kichwani.
Uzuri inatibika ni uwahi tu, tiba.
 
huyu labda akajisaidie tu toilet
ana kiranga

nashangaa kwanini hajafungiwa mpaka wa leo.
Kwanza huwa anaandika pumba sana, thread yake imezidi sana mistari miwili. Halafu utumbo mtupu.
Yote tisa, kuna mitusi ameiporomosha kule jukwaa la maselebriti mpaka si vizuri.
Nimejitahidi kumripoti lakini mhm?
 
Back
Top Bottom