Aibu kubwa kwa wanawake na wanaume tanzania.....

ukienda interview umepiga vazi la kazi bila kuweka mtego wowote, nani atapata nafasi ya kukuomba? Unaingia kwenye interview umevaa mini-skirt, maziwa nje,...what image are you creating?
Another question...kwa nini mademu wanavaa vimini? kuna demu alinijibu ni ili kujifurahisha mwenyewe! nilitaka kucheka kwa nguvu sana!
Mkuu inabidi mtu ujitahidi ku-resist temptation otherwise akikutana na mwanaume mkware hamuachi kabisa
 
ukienda interview umepiga vazi la kazi bila kuweka mtego wowote, nani atapata nafasi ya kukuomba? Unaingia kwenye interview umevaa mini-skirt, maziwa nje,...what image are you creating?
Another question...kwa nini mademu wanavaa vimini? kuna demu alinijibu ni ili kujifurahisha mwenyewe! nilitaka kucheka kwa nguvu sana!
Hebu kina baba waache kuvishabikia waanze kushabikia mabaibui uone kama kuna atakayevaa....... Ni kama swala la kuwakemea makahaba wakati wateja wanazidi kujipanga tu sokoni kaka yangu.

Ningependa tu ufahamu kuwa unyanyasaji wa aina hii hauangalii ulivaa nguo ya aina gani siku ya interview wala ofcn. So si wote wanaotakwa wanajirahisi
 
Ni kweli kabisa maana kuna mwingine akiona macho yako au kwa vile anapenda wanawake weupe basi atatumia oportunity hiyo kukutaka
 
hizi ngono wanazotoa wanawake ni za kujitakia....mtu anaenda interview kajiremba na kavaa kimini au jeans imebanaaaa......yaani hata kama mtu alikuwa hafikirii anaanza kufikiria.

pia wanawake hawajiheshimu wenyewe......kwani ni lazima upate hiyo kazi? kama we unaona kupata kazi ni vizuri zaidi ya utu wako basi hilo ni tatizo.

hapa solution ni kuhakikisha unareport kila mara unapoombwa ngono kwa ajili ya kupata kazi......kwa sababu wanaoomba ngono ni tabia yao, hata asipokupata wewe atamwomba mwingine.....we toa taarifa PCCB ashughulikiwe......najua MAFISADI hawawezi kuwapata, lakini nadhani vijamaa vya ngono watavikamata tu.
 
Ahaaa ahaaaa lol Simba akizidiwa anakula majani basi ndio atakuwa huyo mwanaume kwenye blue hapo

My dear hili tatizo liko
Kwa wanawake na wanaume pia
na ni vibaya sana ku blame mtu mmja
ukikutana na boss mwenye tamaa imekuliA kwako..

Hapo sasa ndo unachambua la kufanya
kutokana na situation uliyo nayo....
 
kikubwa ninachokiona hapa ni umalaya tu kati ya wanawake na wanaume, hapa kama ni aibu ni kwa wote. sina hakina na takwimu hizo lakini nijuavyo mambo haya yapo lakini kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na sifa zisizojitosheleza kwenye kazi husika, mtu amemaliza form 6 akajifunza tu kutumia computer eti anaajiriwa kama personal secretary kwenye a very reputable office, kazi zinamshinda what do you expect? itabidi agawe uroda hadi kwenye carpet la ofisi ilimradi tu bosi asione mapungufu yake!!! mtu ukiwa na elimu na confidence ya kile unachoomba kufanya huwezi kukubali kuchezewa, msisahau jamani 'chema chajiuza na kibaya chajitembeza'
 
Ahsante yesu kwa kuniepusha na hili mpaka hapa nilipo, ila wadada wanapata taabu sana utakuta kischana kidogo llibaba kubwa na mkitambi wake linamlazimisha ngono. ila hii sasa hivi mabosi wengine wanawake nao wanawaomba wavulana hongo ya ngono?
 
hizi ngono wanazotoa wanawake ni za kujitakia....mtu anaenda interview kajiremba na kavaa kimini au jeans imebanaaaa......yaani hata kama mtu alikuwa hafikirii anaanza kufikiria.

pia wanawake hawajiheshimu wenyewe......kwani ni lazima upate hiyo kazi? kama we unaona kupata kazi ni vizuri zaidi ya utu wako basi hilo ni tatizo.

hapa solution ni kuhakikisha unareport kila mara unapoombwa ngono kwa ajili ya kupata kazi......kwa sababu wanaoomba ngono ni tabia yao, hata asipokupata wewe atamwomba mwingine.....we toa taarifa PCCB ashughulikiwe......najua MAFISADI hawawezi kuwapata, lakini nadhani vijamaa vya ngono watavikamata tu.

Umenena vema ndogo yangu laiti wanawake wote wangekuwa na ujasiri (pamoja na uwezo) wa kukemea ingekuwa rahisi.

hapo kwenye nyekundu sometimes hata hapo unapokwenda shtaki naye anakuomba.....utasikia ah mtoto mzuri unasemaje? hapo hujaanza kulalamika ukianza kushtaki flani kanitaka rushwa ya ngono hawakawii kukuuliza .......kwani hujawahifanya? unaogopa nini binti mrembo kama wewe?

mi nafikiri vita hii inapaswa kupiganwa na sie wote waume kwa wanawake.
 
kwanza namshukuru Mungu simo kwenye hiyo asilimia, lakini kama ni kweli, mi naona ni aibu ya wanaume wanaoomba rushwa ya ngono na ya wanawake wanao omba kutoa rushwa ya ngono, maana wadada nao sometimes noma, kuna bosi mmoja aliniambia kuna mdada alikuwa anamwambia nisaidie nitakupa chochote unachotaka, sasa kama jitu lina tamaa litaacha kutaka ngono kweli!?
 
tatizo ni kwamba wengi wa wasaka ajira wanataka kupewa nafasi ambazo sio zakwao kwakigezo cha muonekano wake na sio nini anajua, sasa kwanini usitongozwe?
ukitafuta kazi uliyosomea na ukubali kufanyiwa inatavyuu ufaulu bosi mwenyewe anahanya
 
kwani tatizo nn? The Boss akikuomba c atakupa kazi na maisha yako yanaendelea! We muambie avae mpira tu bac
 
Mi nimewahi kupeleka CV mahali, huyo Boss kaniambia sawa tutakupigia. Sijavaa kimtego wala nini, wala sina kitu cha kumshtua mtu kivilee mi wakawaida kabisaaa!!!
Ilikuwa siku ya Alhamisi, jumamosi yake asubuhi akanipigia akaniambia mm ni yule Boss wa sehemu fulani, hebu tukutane Rose garden kuna jamaa watakuwa pale saa kumi tuongee ongee kuhusu ile CV yako. Nikasikia moyo unanienda mbio, nikafikiria CV Rose garden kweli? Basi nikajilazimisha tu nikaenda nimevaa kama natoka kanisani yani. Kufika nikamkuta kakaa peke yake ananisubiri.

Akaanza kazi utapata usiwe na wasiwasi kabisa, mabinti mnao onekana waaminifu kama ninyi hamwezi kukosa kazi kabisa. Hapo macho yote yananikodolea kama nini, mara kaanza ngonjera zake ooh mi nilikupenda sana binti una adabu khe.........kilichoniokoa hapo nilimwandikia ndugu yangu mmoja msg kaja kunifata nikamkimbia kwa kumwambia tunaenda kwenye msiba. Nikajuta kudiscus CV baaaaa........dah mpaka leo hajawahi niitia hiyo kazi.....sijui alichoma moto nakala zangu.....
 
pole sana....
 
Asante mwaya.......ndio mapito tunayopitia halafu yanatengeneza historia ya maisha tulio nayo. Dah!!!

sasa wapo ambao waliajiriwa kwa fair..
kazi ipo kwenye kupandishwa vyeo,au kupata safari nje n.k
wengi wana choose to lift up their skirts......
 
Ni kweli kabisa The Boss, na ukishayakubali maisha ya short cut ujue siku zote utakuwa unaishi kwa maisha ya mkato mkato hivo hivo. Mwisho unakuja kuonekana kituko tu!!!!
 
Back
Top Bottom