Aibu hizi mpaka lini TFF? Kibao cha kufanyia mabadiliko ni gharama kiasi gani?!

coscated

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
2,919
1,968
Hivi TFF itaendelea kufuga hizi aibu na fedheha mpaka lini? Kwa mfano jana kuna mechi moja ya ligi kuu ilichezwa na hapakuwa na kibao cha kufanyia mabadiliko zaidi ya kutumia makaratasi ya kawaida. Jamani hili limekaaje? Na je kile kibao ni cha gharama kiasi gani? Naomba michango yenu wanajamii wenzangu.
 
Back
Top Bottom