Aibu hii kwa waandishi wa habari wa kike Arusha haivumiliki

Kama hao nao wamefanya hivyo tunawalaani sana sawa na wengine wote wanaoliuka maadili ya tasnia.

Ukweli ni kuwa sio tu wanawake wala si tu kwenye uchaguzi, baadhi ya Waandishi wa habari hata wanaolipwa mishahara wanabaka demokrasia na kupindisha kweli mara kwa mara.

Yaani mashambulizi yako tayari kuelekea ambako mwenye bahasha anaelekeza hata kama hiyo si haki wala kweli na hii si siri.

Hata wale unaowadhani ni waelewa tena ndio wapuuzi sana maana wanatafuta njia zozote za kupotosha au kuficha kweli! Mara ngapi unaandika a critique (bila tusi lolote) kwenye blogu ya mtu anayedhaniwa kuwa kioo cha waandishi wa habari TZ na bila sababu anakuminya kwa sababu tu yule aliyewasilishwa au mwandishi alitakiwa aendelee kusifiwa au kupigiwa debe bila kuwa challenges au kuulizwa?
 
Mhmh hapo sijakupata vizuri mkuu, waliomba hela kwa nani na walimfuata chooni nani? Ila kwenye ngono sitauliza kwa vile najua gwiji Mwigulu Nchemba alikuwepo huko hawezi kuwaacha.

Lisemwalo lipo. Tupachikie picha zao maana wengi hatuwjui.
 
Lete ushahidi banaa usitaje majina tuuu... kama hauna kafie mbele. mod movisha hii kitu ya hovyohovyo
 
Back
Top Bottom