Aibu; baada ya kuchakachua viingilio vya final CECAFA Musonye aapa kurudisha mashindano Dar

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kana kwamba ajaridhika na uchakachuaji waliofanya wakishirikiana na wenzao wa wizarana na tff
mh huyu amefurahia percent aliepewa na majana ametangaza atapigia debe mashindano haya next time yawe tena
dar ili kuweza kuwaibia watanzania
habari zaidi zinasema mh huyu alikuwa kwenye moja yamgao wa chukua chako mapema na baadhi ya wenzake akiwemo mh tenga na tunapoongea kuna waliolalamika kwa nini wamechukua mgao mkubwa wakati wametangaza kiwango kidogo cha mapato tofauti na walivyokubaliana]
hivi mgao wa viingilio unatangazwa kwa makubaliano wengi walijua wanahesabu wanatoa walichotumia wanaangaza kumbe ni makubaliano tutangaze kadhaa kazi kwelikweli duh na sie tunaoshinda kwenye ma computer sijui migao kama hii tutifuma lini jamani ya kukubaliana
..tenga nahisi unapoeleka unaweza kuwa mbaya kuliko wizi wa ndolanga na umenisikitisha kamam mwenyekiti wa cecafa kufika uwanjani simba na yanga kwa kweli
mungu tusaidie
 
Musonye mpumbavu sana, huyu jamaa alikasirika sana kipindi kile Yanga walipoamua kuingia mitini! Jamaa alitaka kupasuka kwa hasira. CECAFA, TFF na huyu mkenya wezi wakubwa, wananiboa sana basi tu kwa vile hizi taasisi hatuziangalii kwa macho ya kutuibia lakini kuba haja ya kuchunguzwa namna zinavyoendeshwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom