Ahsanteni invisible,nimebadili jina!Learned is now Mtundu Kisu-and that‘s my name,seriously!

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Nashkuru wakubwa,hayawi hayawi yamekua!
It is my pleasure to inform you all,that the erstwhile ‘learned‘ is now officially named ‘Mtundu Kisu‘.

Hili ni jina langu halisi,nimeona hakuna haja ya kuendelea kuficha true identity...lol

Nilikuwa natamani sana siku hii iwadie na hatimaye imewadia..

Nawaomba nanyi nyote mufuate good precedent nloweka..
 
Hang on ..

Sjakupata vizuri

Jina lako Mtundu na la babako Kisu???
Ni sawa hapo?? Na hii niki makweli makweli?
 
Samahani au umekosea labda? Ulimaanisha Tundu Lisu ? Au ulivyoandika ndivyo ilivyo ?
 
Nashkuru wakubwa,hayawi hayawi yamekua!
It is my pleasure to inform you all,that the erstwhile ‘learned‘ is now officially named ‘Mtundu Kisu‘.

Hili ni jina langu halisi,nimeona hakuna haja ya kuendelea kuficha true identity...lol

Nilikuwa natamani sana siku hii iwadie na hatimaye imewadia..

Nawaomba nanyi nyote mufuate good precedent nloweka..

Umefuata taratibu gani mkuu? HONGERA!
 
Mbona hata mimi natumia jina langu. Hongera kwa kuwa muwazi,

#ila una jina baya, umelipata wapi? Lol#
 
Back
Top Bottom