Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Akchuale najivunia kuwa Mwafrika.
Kwanini tunaukimbia ukweli, Waafrika dont bother kuhusu future, so do I. Hata kama Coke wamesema kwa kuteleza, lakini ni kweli tupu, tusipende kusifiwa sifa ziso zetu.
Mimi binafsi, wakati dunia inahangaika na majanga na wakati ujao, mimi nimerelax napata GUINNESS FORIEIGN EXTRA!