Ahsante Mungu kwa kunifikisha siku ya leo.

Siku yako iwe ya furaha!!
Mungu akupe mapenzi, busara na hekima,
Uwakumnuke wazazi wako, uwapende na kuwaheshimu,
Uwe mfano mwema, uwapende ndugu majirani na maadui zako pia,
Mungu akapate kuwagusa wengine kwa kupitia maisha yako.
Matendo yako yaakisi upendo na amani ya kweli.
Shukran...
 
Hongera, Mwenyezi Mungu akupe yaliyo ya heri! Umefanya vema kumkumbuka mama yako, next year usimsahau na baba yako!
 
Swali nje ya Mada. Vipi ulishapata Mwenza? Maana niliona post wakati fulani ulikuwa katika harakati za utafutaji.
 
Hongera. Mola akizidishie kheri na fanaka katika maisha yako. Kukumbuka hisani za mama / wazazi ni kitu muhimu
 
Habari zenu wana jf,sina budi kumshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo...tarehe 7/2. Ni siku ambayo mama yangu mpendwa alinileta duniani,ahsante sana mama najua ni shida nyingi alivumilia mama yangu nikiwa tumboni kwake,mungu atamlipa kwa hilo. Napenda kujumuika nanyi katika siku hii ya leo,karibuni sana na nawapenda sana.
tuwekee picha basi...
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom