Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

- Kama ninakuelewa vizuri hapa unaongelea the enforcement of the poshos rules, sio viwango vya ajira as of the ishu at hand!, they have nothing to do with each other!

William @ NYC, USA.

Naona hujanielewa vizuri, kama ni long term solution iwe katika kuhakikisha usimamizi mzuri wa matumizi ya serikali kama kauli mbiu ya kuhakikisha kuna mwelekeo mzuri wa uchumi. Kuhusu point yako ya viwango vya ajira nimesema katika post nyengine tunaweza kuwaongezea mshahara watumishi wa umma (ambao pia utakatwa kodi) na kufutulia mbali posho zisizokuwa na tija . Hilo litaweza kuwaweka wafanyakazi maofisini na pia kudhibiti ufisadi wa kiidara. Kinachoendelea sasa ni ufisadi wa kiidara ambapo posho hazithibitiwi na matokeo watu wasio na nia njema hutumia hizo posho kama njia moja au nyengine ya kujitajirisha na hilo sikuungi mkono ndugu.
 
Jamaa anakuja kugombea ubunge 2015 kule mtera kumnyanganya yule mchungaji, sasa mkitoa posho yeye pesa atakazotumia kwenye kampeni walizozibatiza jina la "TAKRIMA" zitarudije?

Kama vijana wa CCM ndiyo hawa, wenye mawazo na hoja zao kama ni hizi, na navyojua mimi nguzo cha chama chochote cha siasa ni vijana, basi CCM - kwisha habari...Kwisha habari...

Ngoja nihamie kwa NAPE nione naye kaandikaje kuhusu hotuba ya Upinzani kama nitapata chochote cha kuondoka nacho ...... baadaye kidogo.

- Tanzania tumezoeshwa kufiria namna hii kwamba mtu hasemi anything bila kuwa na agenda ya siri, ndio matokeo hili taifa limedumaa maana hatuaminiani ni kuishi kwa wasi wasi sana maana ndivyo tulivyozoeshwa, kufikiria kwa mafungu mafungu, akitokea anayefikiria tofauti basi ana taka ubunge huyo!, anataka posho hizo!

- Duh! Masikini ya Mungu sijui nani atatuokoa hili taifa na hili janga!

William @ NYC, USA.
 
Naona hujanielewa vizuri, kama ni long term solution iwe katika kuhakikisha usimamizi mzuri wa matumizi ya serikali kama kauli mbiu ya kuhakikisha kuna mwelekeo mzuri wa uchumi. Kuhusu point yako ya viwango vya ajira nimesema katika post nyengine tunaweza kuwaongezea mshahara watumishi wa umma (ambao pia utakatwa kodi) na kufutulia mbali posho zisizokuwa na tija . Hilo litaweza kuwaweka wafanyakazi maofisini na pia kudhibiti ufisadi wa kiidara. Kinachoendelea sasa ni ufisadi wa kiidara ambapo posho hazithibitiwi na matokeo watu wasio na nia njema hutumia hizo posho kama njia moja au nyengine ya kujitajirisha na hilo sikuungi mkono ndugu.

- Kufuta posho za Wabunge na kuwaongeza mishahara, mkuu ninakusoma sawa sawa kweli?

William @ NYC, USA.
 
Yeah

hizi posho zifutwe, sio kwa wabunge tu bali na kwa watumishi wa serikali. Mishahara iboreshwe. Marururupu na stahili zote ziwe revisited kama sio kuondolewa kabisa.

Mshahara ukiongezwa wengi watafaidika, wataridhika, wanafanya kazi kwa bidii na maarifa, ufanisi utaongezeka, uchumi utakuwa, tutapata maendeleo. Posho zinanifaisha wachache, zinademoralise wale wasiozipata, ambao wengi ndio nguvu kazi ya nchi.
 
- Kwa hiyo unasema kwamba wewe kwa kuogopa kutukanwa na kukashifiwa, ndio maana unafuata tu upepo wa bendera? Na unashauri na mimi niwe hivyo?

William @ NYC, USA.

La hasha.... Mimi sifuati upepo kama bendera na wala sijakuambia uogope kutoa hoja kisa unaogopa kutukanwa.... Naamini wewe ni too big for this argument you brought up.... Honestly wachangiaji wengi wamekuwa very positive na hoja ya Mhe. Zitto kuhusu posho... Kama hawa Wabunge wetu wanalipwa for being wabunge, then kwa nini walipwe tena sitting allowances?
Watu wengi wamejaribu kufafanua haja ya kuwepo kwa good salary scale across the board accordingly, sio baadhi wanalipwa vizuri still the same people wanapata na posho kwa vikao visivyoisha....

Kwa mfano, kuna ugeni wa Standard Chartered Bank, Tanzania toka Wall Street, NY ulikuja hapa Tanzania sometimes two yrs back... Baada ya some meetings hapo SCB na usongozi na some of Treasury Dept members, walikuwa waende BOT kuonana na mtu mkubwa sana pale Treasury... Meeting ilipangwa some days back wakapata appoitment... Kwenda pale ilikuwa scheduled around 10:00am.... Yule boss wa treasury alikuja 47 mins later... akapiga blah blah hardly 10 mins akasema ana kikao kingine lazima ahudhurie.... Those guys from NY walishangaa sana wakasema ndio tumemaliza meeting hivi? Hawakuamini... Yule boss wa BOT kashavuta bahasha yake anakimbilia kikao kingine kuvuta bahasha nyingine na baadaye ataenda na kingine... Mwisho wanakuwa wao wanaishi kwa posho tu ile mishahara yao mizuri tuliyowawekea hawaigusi hata kidogo...

Sasa kaka William, hapa usichoelewa ni nini kama hufanyi makusudi mazima? Ndio maana nikasema kwamba you are too big for this argument
 
https://www.jamiiforums.com/habari-...azana-dodoma-wabunge-wetu-hawana-maadili.html

Nyingine hii hapa:
Sipendi kuwa pessimistic lakini siasa za nchi hii
unajikuta mtu unakuwa pessimistic hata kama ulizaliwa
by nature optimistic kind of person.........

Nimetazama hao wabunge watarajiwa nikakosa cha kusema....

Ni kama miss tanzania imehamia kwenye bunge.......

I mean hilo kundi la vijana,na kundi la kapu sijui na kundi la
vyuo ........ukichanganya na viti maalum........

Mmoja wa hao wabunge watarajiwa anaitwa catherine magige
tayari leo hii ameshaanza andikwa na magazeti ya udaku........

Nilisema na narudia kusema hivi viti maalum tuvipige vita mpaka vifutwe.......

Kwa kweli magazeti ya udaku yatahamia dodoma.....

Na hilo bunge skendo za ngono zitakuwa ni kila siku........

Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
wawe wabunge wa viti maalum?????

Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni

wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????

I am more than dissapointed na hii nchi..........

Hivi wenye kufikiri straight hakuna kabisa?????????????
Kutoka: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/70226-bunge-lijalo-ni-full-skendo-za-ngono.html

Mie nipo hapa Dodoma,

Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha Dodoma na kuwachukua watoto na kuondoka nao. Wabunge wanawatuma madereva tu, wao hawaonekani!

Je hii ndo kazi ambayo wametumwa na wapiga kura wao? Na je kwanini wanawaharibia maisha watoto wa watu wakati wao wameoa na kuwa na familia zao? Kama wanahusudu sana Ngono kwanini wasije na wake zao? Nawakilisha wadau!!!
from: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/143323-wabunge-wetu-na-mabinti-wa-vyuo.html
- Duh!

Willie @ NYC, USA.
 
La hasha.... Mimi sifuati upepo kama bendera na wala sijakuambia uogope kutoa hoja kisa unaogopa kutukanwa.... Naamini wewe ni too big for this argument you brought up.... Honestly wachangiaji wengi wamekuwa very positive na hoja ya Mhe. Zitto kuhusu posho... Kama hawa Wabunge wetu wanalipwa for being wabunge, then kwa nini walipwe tena sitting allowances?
Watu wengi wamejaribu kufafanua haja ya kuwepo kwa good salary scale across the board accordingly, sio baadhi wanalipwa vizuri still the same people wanapata na posho kwa vikao visivyoisha....

Kwa mfano, kuna ugeni wa Standard Chartered Bank, Tanzania toka Wall Street, NY ulikuja hapa Tanzania sometimes two yrs back... Baada ya some meetings hapo SCB na usongozi na some of Treasury Dept members, walikuwa waende BOT kuonana na mtu mkubwa sana pale Treasury... Meeting ilipangwa some days back wakapata appoitment... Kwenda pale ilikuwa scheduled around 10:00am.... Yule boss wa treasury alikuja 47 mins later... akapiga blah blah hardly 10 mins akasema ana kikao kingine lazima ahudhurie.... Those guys from NY walishangaa sana wakasema ndio tumemaliza meeting hivi? Hawakuamini... Yule boss wa BOT kashavuta bahasha yake anakimbilia kikao kingine kuvuta bahasha nyingine na baadaye ataenda na kingine... Mwisho wanakuwa wao wanaishi kwa posho tu ile mishahara yao mizuri tuliyowawekea hawaigusi hata kidogo...

Sasa kaka William, hapa usichoelewa ni nini kama hufanyi makusudi mazima? Ndio maana nikasema kwamba you are too big for this argument

- Well, ninachosema ni kwamba wananchi wote hawawezi kulipwa sawa huo ni Ujamaa ambao umeshindwa tayari, kuondoa posho kwa ajili ya kuongeza mishahara makes a sense, lakini what is the logic hapo ndio ninashindwa kuelewa?

William @ NYC, USA.
 
Allowances: Ex-German president warns govt
Allowances: Ex-German president warns govt

Wednesday, 15 June 2011 23:46

By Polycarp Machira
The Citizen Reporter

Dar es Salaam. The debate on allowances paid to civil servants took a new turn yesterday when former German president Horst Kohler warned the government that its image was at stake.Prof Kohler said in Dar es Salaam that donors were closely monitoring the debate, adding that it might end up tarnishing the government’s image before development partners if it was not handled properly.Responding to a question during a dialogue at Movenpick
Hotel, he said the debate did present a good picture of the country’s expenditure priorities.

Prof Kohler said it was not in order for a country like Tanzania, which received substantial assistance from donor countries, to set aside huge sums as allowances for government officials, who were also being paid salaries. Giving an example of his own country, he said: “In Germany, such officials have to foot their own
bills while attending official duties.” He added that payment of allowances was not a proper way of spending taxpayers’ money.

Prof Kohler said at the Maendeleo Dialogue, organised by Konrad Adenauer Stiftung (KAS) and the Tanzania Development Initiative Programme (Tadip), that Western countries were likely to react once they had all the facts on the allowances debate.

He spoke as debate on allowances paid to public officials raged. Opposition MP Zitto Kabwe last week said he would not accept allowances during Parliament’s ongoing Budget sitting in Dodoma. The Kigoma North MP said parliamentarians and government officials did not deserve to be paid allowances as they went about their official duties.

Prof Kohler urged the government to uphold transparency and accountability.Prof Kohler noted that Tanzania had made great strides in development, but added that a lot more needed to be done to promote the rule of law, saying this would enhance the public’s trust on the government.

The former Head of State, a well-known proponent of Western development assistance for African countries, said only the people, leaders and government can bring about real change in Tanzania.

Speaking on the theme of “Cooperation and Solidarity – Opportunities for International Social Market Economy”, he said there were variations among countries, making the dream of a global social market unlikely in the near future.

On the road to the new Constitution, Prof Kohler said it was necessary to bring in national
values in the envisaged law. He said the process was an opportunity for Tanzanians to discuss values to be incorporated in the Constitution, noting, for instance, that the German constitution opened up with the line “Dignity for human being is untouchable.”

While praising Tanzania for steps taken towards development, Prof Kohler said the country had numerous long-term development plans that should be implemented to accelerate growth.“It is not only important to discuss visions but you should also reflect on implementation. Let accountability prevail such that leaders are held accountable for promises they made,” he said.

Bank of Tanzania (BoT) governor Benno Ndulu said Tanzania had for a long time faced the challenge of balancing what the government and the private sector ought to do.

He said the government had the important role of complementing the positive impact of the private sector.
“The government should put in place infrastructure that supports private sector initiatives to boost growth as well as improve institutions that stand for property rights and resolve disputes,” Prof Ndulu said.

Another panelist, Dr Camilius Kassala from the Institute of Finance Management (IFM), said many African leaders would do only what is practical even if it was unethical.

He noted that a social market economy should be inclusive and provide for accountability.
Dr Kassala urged the government to facilitate the private sector’s participation in the market, adding that freedom of market must be matched with social justice.

William,
Nilidhani ulichoandika kilikuwa na mantik lakini baada ya kusoma nikagundua una upungufu wa uelewa wa mambo mengi hasa ya fedha na kodi. Siko hapa kukufundisha wala sitofanya hivyo ila kama unafuatilia mjadala bungeni na magazetini utagundua mwenyewe hamna point ya msingi uliyoweka hapo. Kwanza soma hilo gazeti, pili tunaposema cost management katika kipindi hiki cha mtikisiko wa uchumi wewe unaelewa nini na vipaumbele vinawekwa wapi. Angalia nchi kama Rwanda jiulize wamewezaje ku-priortise maendeleo ya nchi kama si pia kujikika katika cost management ambapo matumizi yasiyo ya lazima yanaangaliwa kwa umakini. Watu wamechangia humu kwamba hizi posho zinalipwa kwa siku mara zaidi ya mbili na infact hamna significant changes kwenye role ya huyo mtu. Sielewi kwa nini wewe huoni labda shule yako. Halafu serikali tayari imeshasema hii hoja ni yao (through Nape) sio ngeni wewe sijui unaibukia wapi....siwezi poteza muda wangu arguing sana na wewe kwa kuwa nakuwa emotional kwani you dont have an idea of what the hell this gvt is doing. Endelea kukaa huko huko uliko sisi huku tuta wasort tu mpaka kieleweke.

gr&&^%$$&*&^$##1 type!
 
Jitu linabeba mabox huko unategemea kuna akili iliyosalia hapo, mama yake Anne Kilango ni mbunge kwahiyo anatetea maslahi ya mama yake kibwengo mkubwa huyu.
 
Hela za POSHO zinakokwenda. Halafu wanadai Wananchi wanakuja kuwasubiri mlangoni mwa Bunge ili wawaombe hela....

Ehhh, kweli kizee kitatoka Sikonge kuja Dodoma kuomba hela? Hiyo nauli yenyewe hakina. Sasa huyu anayekuja Dodoma kwenye lango la bunge kuomba hela si ni hawa ma CDs? Mtu atoke Kyela kuja Dodoma kumuomba Mwakyembe hela? Si kichekesho hiki jamani?

Panga pangua, wanaoomba hela na kupewa ni hawa Wanafunzi na machangudoa. Hizi kelele za posho kwa wabunge wengine ni kutaka kupata hela za kutosha kuwalipia hawa Mashangingi wao bill za nyuma na manukato.

Mie nipo hapa Dodoma,

Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha Dodoma na kuwachukua watoto na kuondoka nao. Wabunge wanawatuma madereva tu, wao hawaonekani!

Je hii ndo kazi ambayo wametumwa na wapiga kura wao? Na je kwanini wanawaharibia maisha watoto wa watu wakati wao wameoa na kuwa na familia zao? Kama wanahusudu sana Ngono kwanini wasije na wake zao? Nawakilisha wadau!!!

Hao mabinti wanapewa fedha kidogo za mikopo ambayo ni kama Tsh.5,000 kwa siku kwa ajili ya chakula na malazi na wabunge wamekataa kuwapigania waongezewe mikopo. Wabunge wao wanapewa fedha nyingi zaidi Tsh.100,000 kwa siku na wabunge nao hawataki posho zao zipunguzwe.

Kwa hiyo kinachofanyika ni kuwa wanafunzi wanajiongezea posho zao za siku kwa njia hiyo na wabunge wanajipunguzia posho zao za siku kwa njia hiyo. Hapo panaeleweka?

From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/143323-wabunge-wetu-na-mabinti-wa-vyuo.html
 
hana lolote huyu kijana wangu...........anajichanganya sana na natumia
ubishi bila kufikiri........sis tunataka posho zite zifutwe kuanzia juu
kwa hao wabunge hadi kwa hawa wa ngazi ya chini.......swala ma mishahara
kuongezeka linajadilika lakkini sio swala la posho huu ni
wizi......sasa huyu kijana anaamka huko na thread ya ajabu hapa na
kudhani kwamba sis ni wale wale wale wa juzi .......
 
UNBELIVABLE,.... UNBE *********LIVABLE.....,
Two questions..., hivi hizo pesa wanazolipwa waheshimiwa zinatoka wapi, and can we really afford it.....

Hey I have got no problem with private companies au individuals or the companies which produce more profit to pay their workers any amount of cash, lakini sio part of my hard earned cash, which is not even sufficient to go around to be paid to a few bunch of under performing individuals pretending that they represent majority while living as minorities..

Hell Bring Capitalism but it should start from bottom up and not otherwise..., let first make sure majority have got enough for their daily bread... not now whereby a few are enjoying the cake while most of how cant even smell it..

I never thought I will see a day whereby someone will try to make sense of this nonsense
 
William,
Nilidhani ulichoandika kilikuwa na mantik lakini baada ya kusoma nikagundua una upungufu wa uelewa wa mambo mengi hasa ya fedha na kodi. Siko hapa kukufundisha wala sitofanya hivyo ila kama unafuatilia mjadala bungeni na magazetini utagundua mwenyewe hamna point ya msingi uliyoweka hapo. Kwanza soma hilo gazeti, pili tunaposema cost management katika kipindi hiki cha mtikisiko wa uchumi wewe unaelewa nini na vipaumbele vinawekwa wapi. Angalia nchi kama Rwanda jiulize wamewezaje ku-priortise maendeleo ya nchi kama si pia kujikika katika cost management ambapo matumizi yasiyo ya lazima yanaangaliwa kwa umakini. Watu wamechangia humu kwamba hizi posho zinalipwa kwa siku mara zaidi ya mbili na infact hamna significant changes kwenye role ya huyo mtu. Sielewi kwa nini wewe huoni labda shule yako. Halafu serikali tayari imeshasema hii hoja ni yao (through Nape) sio ngeni wewe sijui unaibukia wapi....siwezi poteza muda wangu arguing sana na wewe kwa kuwa nakuwa emotional kwani you dont have an idea of what the hell this gvt is doing. Endelea kukaa huko huko uliko sisi huku tuta wasort tu mpaka kieleweke.

gr&&^%$$&*&^$##1 type!

- Mkuu upo all over, hoja haina mantiki lakini umeifungia safari JF kuja kujibu, halafu unasema kuelewa hoja ya Zitto one must have knowledge ya Fedha na kodi is that right? Kwa hiyo unasema wananchi wa hili taifa tusiokuwa na uelewa wa kodi na fedha tunyamaze tuwachie wananchi kama wewe tu wenye huo uelewa? Halafu unaongelea Rwanda je unajua mishahara na posho za Viongozi wa Rwanda unasema unaweza kuilinganisha na hii yetu ya hapa bongo? Halafu again unasema shule yangu vipi imekuhusu vipi mkuu sana? Halafu tena unasema my location kwamba wewe "'uliyoko" ndio una haki na kujua zaidi kuhusu hii ishu niliyeko nje siijui!

- Mkuu ninasema hivi Tanzania tunatoka mbaali sana na ujira, mpaka kufikia hapa tumetoka mbaali sana, nina tatizo sana na idea yoyote ile ya kutaka kuturudisha kule tulikotoka, na ninasema at the heart ndio hasa hoja ya Zitto ni kurudishana kwenye umasikini, kule tulikotoka, na huwezi gusa ujira wa Wabunge ukaacha wa watumishi wengine kwenye taifa, ndio maana nina tatizo sana na hoja ya Zitto, lakini samahani sana kwa kukukwaza kutokana na kutokuwa na uelewa kuhusu pesa na kodi, inaonekana wewe ni muelewa sana mkuu hasa kutokana na hoja zako nzito sana!

William @ NYC, USA
 
hana lolote huyu kijana wangu...........anajichanganya sana na natumia
ubishi bila kufikiri........sis tunataka posho zite zifutwe kuanzia juu
kwa hao wabunge hadi kwa hawa wa ngazi ya chini.......swala ma mishahara
kuongezeka linajadilika lakkini sio swala la posho huu ni
wizi......sasa huyu kijana anaamka huko na thread ya ajabu hapa na
kudhani kwamba sis ni wale wale wale wa juzi .
......

- It takes mtu wa ajabu sana na wajuzi sana kujibu thread ya ajabu na ya juzi sana, au? ha! ha! ha! ha! hoja zingine unajivua nguo mwenyewe bila kujua! kwamba ni mtupu!

William @ NYC, USA.
 
Jitu linabeba mabox huko unategemea kuna akili iliyosalia hapo, mama yake Anne Kilango ni mbunge kwahiyo anatetea maslahi ya mama yake kibwengo mkubwa huyu.

- Wananchi wanaobeba mabox hawana akili nzuri na wasiruhusiwe kushiriki mijadala ya taifa maana kazi yao inawafanya wasiwe ana akili nzuri, na hii ni from a great thinker at JF? Sawa sawa mkuu umesikika sana!

Mkuu Ungekuja na mbinu za kuonyesha ni jinsi gani we can sustain hizi posho na mishahara yote mikubwa na jinsi ya kuwaongezea wote mishahara tungekuona wa maana sana, apart from that you are trying to solve a problem by creating a probem
 
UNBELIVABLE,.... UNBE *********LIVABLE.....,
Two questions..., hivi hizo pesa wanazolipwa waheshimiwa zinatoka wapi, and can we really afford it.....

Hey I have got no problem with private companies au individuals or the companies which produce more profit to pay their workers any amount of cash, lakini sio part of my hard earned cash, which is not even sufficient to go around to be paid to a few bunch of under performing individuals pretending that they represent majority while living as minorities..

Hell Bring Capitalism but it should start from bottom up and not otherwise..., let first make sure majority have got enough for their daily bread... not now whereby a few are enjoying the cake while most of how cant even smell it..

I never thought I will see a day whereby someone will try to make sense of this nonsense

- The beauty of being a nonsense is, it you always lead the nonsense to suspect others are nonsense too at all the times! ha! ha! ha!, tulipokuwa kwenye Ujamaa tulikuwa na wananchi waliokuwa na uwezo wa kuishi vizuri kuliko wengine, sasa tumeingia kwenye ubepari bado wapo pia, labda mtafute another model maana it is a fact of life kwamba kutakuwepo tu wananchi wenye uwezo kuliko wengine, lakini kutumia sheria kukandamiza wenye uwezo kwenye jamii ili wawe sawa na wasio na uwezo ni mawazo mufilisi sana!

William @ NYC, USA
 
@ Facebook: by William Malecela on Wednesday, June 15, 2011 at 10:57pm

@ NEW YORK CITY - USA: Ujira wa Wabunge wetu wanapokuwa bungeni kutuwakilisha wananchi, je ni mkubwa sana kuliko uwezo wetu Nationally, au ni just another political stunt aiming at gaining temporary political populism? I mean Mh. Zitto anahitaji heshima kwa kuibua hii debate, lakini at the same token ni haki yetu wananchi kuuliza maswali magumu on the ishu ili tusiishie kuuziana mbuzi kwenye magunia. Binafsi ninasema kwamba I am very troubled na this ishu of what exactly is the logic behind it on Mheshimiwa's side, kwa sababu toka isemwe nimejaribu kuangalia what is the long term to our National interest on it to no avail kabisa , WHY? Tanzania ndio kwanza tumetoka kwenye siasa za the Doomed Communism, we are still in the transition or work in progress towards Capitalism and then kabla hatujaenda mbaali sana recently kumekua na vilio vya kutaka kurudi kwenye Azimio La Arusha na the so called maadili ya uongozi, now here comes this which in the large picture ni kupunguziana ujira makazini. Hapa ndipo huwa ninauliza hivi: Hili taifa tulilogwa na nani?

- People, look here I don't care what, haya ni mambo ya kurudishana tulikotoka yaani kwenye maisha ya Usawa usawa nonsense ambayo ndio yamelifkisha hili taifa hapa tulipo! I mean kama kiongozi mmoja ameamua kwamba hela anazolipwa ni nyingi sana kwake hazihitaji tena, great azichukue na kupeleka kokote anakotaka, lakini trying to make a National policy out of it ni misguided thinking na the answer is NO! Wa-Tanzania tumetoka mbali sana na matatizo ya ujira makazini, taifa letu limepoteza wataalamu wakubwa sana waliobobea kwenye fani mbali mbali Duniani kwa sababu ya kuogopa kwao kufanya kazi Tanzania kisa cha ujira mdogo sana kulinganisha na ujuzi walionao ambao sisi as a Nation tuliuhitaji sana, ni only miaka ya karibuni ndio pole pole tumeanza kuwa na National progress on ujira infact mpaka sasa we can claim having a Middle Class, ambayo ni simply the results of ajira zenye ujira nafuu makazini. Sasa why now throw this Mheshimiwa Zitto's thing in the mix? I mean ukianza na posho za wabunge leo, kesho utaanza kuingilia Madakitari, sasa where would you draw the fine line na standards za ujira? Ndio maana ninasema kwamba the idea ni only temporary political populism stunt, lakini haina anything good on the long term and permannet National interest na itaishia kutukimbizia wananchi wataalamu as it has done in the past, ambao hili taifa tunawahitaji sana sasa kuliko wakati wowote mwingine toka tupate uhuru.

- Tulipoingia siasa za vyama vingi as a nation, tulikubaliana kimsingi kwamba Viongozi wetu wa taifa tuwalipe kulingana na hali halisi ya maisha, ili kuwaondoa kwenye tamaa za Rushwa, huenda Mheshimiwa hakuwepo wakati huo au alikuwa mdogo sana kiumri, lakini anapaswa kuelewa kwamba huo ujira uliwekwa kwa sababu za kimsingi sana zilizojali maisha ya Viongpozi wetu kama sisi wananchi wengine wote, ambao in the wake of ujira mdogo wakati tunalitumikia taifa inaweza kutupelekea kufanya maamuzi mengi against taifa kuelekezea kwenye matumbo yetu zaidi kwa sababu ya ujira mdogo sana kutoka kwenye taifa letu wenyewe tunalolitumikia usiku na mchana. Hakuna taifa Duniani lililopata maendeleo kwa haraka sana kwa kupounguza ujira wa Viongozi wake wa Taifa, na if the point ni political symbolism zaidi then wananchi wa chini twafwa, kwa sababu ni lazima upunguze ujira wa kila sekta katika taifa, huwezi kuishia kwenye Wabunge tu. Na the worst of all the idea inapanda mbegu za kuanza kuongozana kwa kutumia mob rule au mob justice in the process badala ya natural justice ambayo ni hatari sana kwa our future National political Stability, yaani hii ya kiongozi yoyote kukurupuka tu na misguided hojas bila hata kuki-consult chama chake cha siasa, wananchi tuzikatae siasa za namna hii kwenye taifa hatuzihitaji kabisaa, ndio maana tuna sheria ya vyama vya siasa.

:- Kwa hayo yote ninasema hivi Mh. Zitto hongera sana kwa uamuzi wako, lakini tafadhali sana uishie kwako tu, usituuzie hili taifa mbuzi kwenye gunia!- tunataka kwenda mbele sio kurudi nyuma tena tulikotoka, ukiweza pigania kuongezeka kwa ujira makazini lakini sio kupunguzwa kwa sababu at the heart ya hoja yako ni kusonga mbele kwa kurudi kinyume nyume which is impossible!

William Malecela @ New York City; US.

Maisha yako ya kimalekani yanakufanya usione uchungu na nchi yetu,sababu unazotoa ni za kipuuzi tupu,mfano wa mbuzi kwenye gunia hapa hauna mantiki kabisa.
 
hana lolote huyu kijana wangu...........anajichanganya sana na natumia
ubishi bila kufikiri........sis tunataka posho zite zifutwe kuanzia juu
kwa hao wabunge hadi kwa hawa wa ngazi ya chini.......swala ma mishahara
kuongezeka linajadilika lakkini sio swala la posho huu ni
wizi......sasa huyu kijana anaamka huko na thread ya ajabu hapa na
kudhani kwamba sis ni wale wale wale wa juzi .......

Mkuu nakubaliana na wewe sana. Issue sio mishahara. Huwapi watu mishahara midogo eti kwa kuwa utawapa posho. That will be STUPIDITY. Sikatai serikali ingeweza kureview mishahara ikawapa wafanyakazi wake mishahara competitive with private sector, hilo nalisuppoert. Sababu ambapo mimi si-support POSHO ni kwamba POSHO haziko controlled jamani. Wape watu mishahara tujue ni mishahara posho zina mambo mengi na mianya mingi sana (watu wengi wameeleza kwa kina).

- Mkuu upo all over, hoja haina mantiki lakini umeifungia safari JF kuja kujibu, halafu unasema kuelewa hoja ya Zitto one must have knowledge ya Fedha na kodi is that right? Kwa hiyo unasema wananchi wa hili taifa tusiokuwa na uelewa wa kodi na fedha tunyamaze tuwachie wananchi kama wewe tu wenye huo uelewa? Halafu unaongelea Rwanda je unajua mishahara na posho za Viongozi wa Rwanda unasema unaweza kuilinganisha na hii yetu ya hapa bongo? Halafu again unasema shule yangu vipi imekuhusu vipi mkuu sana? Halafu tena unasema my location kwamba wewe "'uliyoko" ndio una haki na kujua zaidi kuhusu hii ishu niliyeko nje siijui!

- Mkuu ninasema hivi Tanzania tunatoka mbaali sana na ujira, mpaka kufikia hapa tumetoka mbaali sana, nina tatizo sana na idea yoyote ile ya kutaka kuturudisha kule tulikotoka, na ninasema at the heart ndio hasa hoja ya Zitto ni kurudishana kwenye umasikini, kule tulikotoka, na huwezi gusa ujira wa Wabunge ukaacha wa watumishi wengine kwenye taifa, ndio maana nina tatizo sana na hoja ya Zitto, lakini samahani sana kwa kukukwaza kutokana na kutokuwa na uelewa kuhusu pesa na kodi, inaonekana wewe ni muelewa sana mkuu hasa kutokana na hoja zako nzito sana!

William @ NYC, USA

Mkuu, probably nime-overreact on you, uniwie radhi si tabia yangu. Hata hivyo sita jibu kimipasho kama ulivyofanya mana si tabia yangu vile vile kama (kufungia safari kujibu hoja yako JF, etc etc) Ila wewe context unayoiongelea labda ni tofauti na hii contex inayojadiliwa. Sikatai hoja yako kwamba overall payscale ya tanzania ni ndogo, lakini hai-justfy kuwe na very big gap kati ya wenye mishahara/ujira mdogo na mkubwa. Hamna anayekataa kwamba tanzainai tumetoka mbali kwenye swala la ujira mpaka hapa tulipo kama unavyo elezea, issue sio hiyo ndio maana wengi humu wanatofautiana na wewe. Issue ni hizi posho zisizokuwa na CONTROL (hivi unaelewa hili?). Watu wamechambua jamani William get the heart of the issue. Pengine mimi ndo nakosea, labda i need to understand you better nijue how much i can be able to say. Sijui lakini....hayo ndo yangu.
 
- Wananchi wanaobeba mabox hawana akili nzuri na wasiruhusiwe kushiriki mijadala ya taifa maana kazi yao inawafanya wasiwe ana akili nzuri, na hii ni from a great thinker at JF? Sawa sawa mkuu umesikika sana!

William @ NYC, USA

Unajuwa wewe unatafutia watu ban tu hapa una lolote, unaleta hoja za uharo wa bata ili kuchokoza hisia za watu, sasa hapa tutashindwaje kukutofautisha na Nape Nnauye?
 
Back
Top Bottom