Ahsante JK kwa Uungwana

juzi niliona ilovo-kilombero sugar wanauza sasa sukari kwa sh 1500 kilo pale kamata dar wana ofisi!ama kweli nchi hii bila mgomo ama maandamano mambo hayaendi

mandamano na migomo tanzania oyeeeeee
maana tumeanza kuona matunda yake
 
Back
Top Bottom