Ahsante JF kwa kunipatia mke wa pili….!

na wakazi wote wa darisalama wanaokaa pande za tabata nao pia wakae kushoto!mama ngina anabaki kuwa mother house mpka mwisho wa dahari ye anataka kuoa mke size ya Mkatakiu ili kiwe nini?af wakimpora kina Saint Ivuga atakuja kuleta mada humu ndani inasomeka hivi''mke wangu wa pili kakimbilia kwa wenye damu changa'' nani anataka hzo aibu humu!ah

Hapo Chacha,
yani anaoa mwanamke Used but M-bichi afu ategemee akina Masharobaro Saint Ivuga wakajisevie wapi?
Yani siku hyo Pale Tabata, Dar itahamia kule.
Mtu Tatu kama vile Elfu Tatu.

Halafu nilitaka kusahau, itabidi tukakate Sare tuvae siku ya Tifu ili iwe rahisi Kukumbukana hata tukikimbizwa na FFU....lol
 
Last edited by a moderator:

yani mi naona mawazo yetu yamekuwa sawasawa manake we mean bizinesi here hatutaki masikhara !tean sare zenyewe ziwe na rangi za hatari tupu haiwezekani amtende mama ngina hivi!
 
Tuchague Rangi Nyekundu iliyochanganywa na Pinki au njano ili tuonekane vizuri.
Muulize mwaJ kama ameshampata Gea Habibu,mamaa ya Hekaheka.

Halafu nina wazo,
unaonaje tukaweka na Kiingilio angalau tupate hata Pesa za kununua Maziwa after Tifu?
Manake itakuwa ni kugaragazana kwenye Mavumbi na kwenye vyuma vya reli.
 
nyekundu na njano ndo poa!halafu ngoja tutafute msaada wa kisheria kabisa tujue power of attorney aliyonayo mama ngina baada ya hili saga la huyu babu je ana haki gani za kimsingi kwa mume wake? ruttashobolwa tujuze,manake tuko vere siriaz haiwezekani huyu babu aachiwe hivi,:frusty:
 
Last edited by a moderator:
we muache tena ngoja nitafute kabisa kitambaa nikiwekee fito huku na huku nikiandike maneno haya ''operesheni rudisha mama ngina kwenye himaya yake''

af nakishikilia pale tabata relini huku mimi kule Madame B

Chezea.
Afu pale katikati ya Kitambaa tunaning'iniza silaha za jadi,mapanga,marungu,sime na mishale.
Afu tunachonga bonge la Bango lenye ujumbe
" LIWALO NA LIWE,UKISOGEA TUNAKUMALIZA,WAGUMU,
WAGUMU BY NATURE
"
 
Last edited by a moderator:
nyekundu na njano ndo poa!halafu ngoja tutafute msaada wa kisheria kabisa tujue power of attorney aliyonayo mama ngina baada ya hili saga la huyu babu je ana haki gani za kimsingi kwa mume wake? ruttashobolwa tujuze,manake tuko vere siriaz haiwezekani huyu babu aachiwe hivi,:frusty:

Lawyer huyu hatufai kwani ameonyesha upendeleo wa wazi wazi.
Afu Lawyer huyu huyu ndie hubby wangu.
Namwambia popote alipo ajisalimishe la sivyo leo ni Mzungu wa 4 usiku.
 
Last edited by a moderator:
Lawyer huyu hatufai kwani ameonyesha upendeleo wa wazi wazi.
Afu Lawyer huyu huyu ndie hubby wangu.
Namwambia popote alipo ajisalimishe la sivyo leo ni Mzungu wa 4 usiku.

si ndo hapoooooo!leo mwekee mchuno kwa kwenda mbele!akiuliza zile zao za ''umelala'' usijibu kausha kmya wala usimsogelee usije ukapatwa na hug from behind ukajikuta umegeuka bure!
 
Huyu ruttashobolwa najua pa kumkamatia.
Wala simshikii manati,saa 12 bandani.
Afu wewe mwaJ unatusaliti tunakuuliza?

Tungawana kazi,kamlete Gea.
ah bora hapa tumwite hata Saint Ivuga manake isije ikawa kifaaa chake kimeporwa hapa usikute Mtambuzi anasema ni mjane kumbe ni kidosho bint kishtobe,ameamua kusema mjane ili afunike kombe kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Hapo Chacha,
yani anaoa mwanamke Used but M-bichi afu ategemee akina Masharobaro Saint Ivuga wakajisevie wapi?
Yani siku hyo Pale Tabata, Dar itahamia kule.
Mtu Tatu kama vile Elfu Tatu.

Halafu nilitaka kusahau, itabidi tukakate Sare tuvae siku ya Tifu ili iwe rahisi Kukumbukana hata tukikimbizwa na FFU....lol

Ha ha haaaaaa! mbavu zangu!
 
ah bora hapa tumwite hata Saint Ivuga manake isije ikawa kifaaa chake kimeporwa hapa usikute Mtambuzi anasema ni mjane kumbe ni kidosho bint kishtobe,ameamua kusema mjane ili afunike kombe kidogo!

Bora umelitambua hlo mapema.
Hebu kawafatilie wako kona gani.
Maana Time za kuranduka hizi,
unakipiga cha Arusha afu unajitosa mzimamzima.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom