Ahsante JF kwa kunipatia mke wa pili….!

Mkuu Mtambuzi kwa sasa nipo Ununio. Nimemwona kijana flani hvi mmfanana sana. Nadhan ni yule ulyenambia. Fanya mpango uje umgomboe. Anaish kwa bibi yake.
nicas unafikiri anakoma huyu babu?yale ya ununio kashasahu anatuletea mke mwingine humu!siye tushamzoea mama ngina wa watu nae kamvumili kama nini miaka kibao!juzi tumemwangushia bonge la pati la besidei ye zawadi zile kauza kaenda kuolea mke!
 
Last edited by a moderator:
kwa mtaji huu utatukoma humu,tena ngoja nimwite madameb ,halafu na akija mwaJ atamaliza kesi huwezi kumuolea mke mwingine mama ngina tunashuhudia halafu unasema eti kuoa mjane ni thawabu!akh!eti Kaunga umesikia maneno ya huyu mzee wa ununio?
Mtambuzi hana lolote! Anatafuta justication ya kuongeza mke kwa kisingizio cha kuoa mjane. snowhite nakuja sasa hebu nisubiri niwaarifu hekaheka.
 
Last edited by a moderator:
mpka asepe tushampa kibano cha haja ,haiwezekeni amchake mama ngina wa watu halafu aoe kigoli tena kilicho kijane halafu wala hataki kujua mume mwenzie marehemu yalimsibu yapi!atachezea kichapo huyu mpka asahau aliye mkewe ni nani!ahahahahhaahha King'asti na Madame B pamoja sana!kwanza tukaanzzie pale kwenye pub yake inawezekana ndo kale kalikuwa kanasave kwa bidii ile juzi kwenye birthday yake,maana mi baba yenu unafikiri namuamini?ah

Yaani snowhite ondoa shaka,
Kwanza tunaanzia Pale Tabata Ubaya Ubaya, siku Hiyo Tutapabadilisha jina patakuwa Tabata Kizunguzungu,
Afu kumbuka nilikutonya kuhusu huyo Mjane,
si alikuwa anasave ile meza iliyo karibu na Pool table!
Me nilimuona sana alivyokuwa anajishaua kutikisa Vikalio vyake.
Haloo!! haloooo!!
Yani ni Mkong'oto kwa Kwenda Mbele.

Hv shosti ushawahi Kuona Kichapo wanachotoa Wanawake walio masingle kwenda kwa mwenzao aliyeolewa?
Ndo siku hyo, Girls In Action...!! (Kwa Msaada wa Watu wa Marekani)
 
Last edited by a moderator:
Yeah, waungwana wanasema like father like son….

Mimi nimetokea katika familia ya ndoa za mitala, baba yangu alikuwa na wake watatu, duh! Huyu alijipunja, kwani baba yake ambaye ni babu yangu yeye alikuwa na wake sita wenye maumbo makubwa kama cacico au charminglady….

Kwa kifupi ni kwamba kwa mila a desturi za kwetu kuoa wake wengi ni jambo lisilokwepeka…
Nimetanguliza maelezo hayo ili msije nitia vidole vya macho… (Nawajua sana wanawake wa humu JF, hasa huyu snowhite, BADILI TABIA, nyumba kubwa gfsonwin, Preta, na vidosho wengine, nasema mnikome…

Ni hivi, kuna binti mmoja ambaye ni mjane tumejuana humu humu JF, yeye ana umri wa miaka 26 na amefiwa na mumewe mwaka jana (Msiniulize amekufa kwa ugonjwa gani, mie sio ZIRAELI mtoa roho za watuna hiyio hainihusu) na kuachiwa mabinti wawili ambao ni mapacha wenye umri wa miaka 3… sasa kutokana na kwamba anakabiliwa na hali ngumu ya kutunza hiyo familia yake, nimeona ni vyema nimuoe, ili asije akaadhirika hapa mjini. Si mnajua ukioa mjane unapata Baraka kwaMungu..!

Kwani kuna ubaya gani kwa akina Ngina, king’asti na Cantalisia kupata wadogo zao mapacha, na pengine nitaongeza wengine hapo wa kwangu…..Vuteni subira nitawaalika kwenye sherehe ndogo ya ndoa itkayofanyika mwezi huu mwishoni huko Vikindu….

Ngoja nimepata mgeni kidogo, nitarudi muda mfupi ujao kuwapa taarifa zaidi…

yaani angekuwa boflo nisingeshangaa hadi wewe mjomba unaadd muke ingine hatari..
 
snowhite, mwaJ,
hebu njooni tujitayarishe,
Lile Pensi langu la Mauamaua umenionea wapi?

Haiwezekani amuongezee majukumu Mama Ngina.
Lazima tukafanye Tifu Vikindu watujue sie watoto wa Mikanjuni.
Pigapiga mateke majungu yote ya Ubwabwa na Maharage.
Madame B najaribu kuwapigia wale wadada wa hekaheka wala hawapokei simu. Subiri kidogo nimtafute mama Ngina nimsindikize mahakamani akaweke pingamizi maana ndoa yake na Mtambuzi ni ya mke mmoja. Mtambuzi asituletee hadithi za babu na baba hapa hao wazee hawakuwa wana sign vyeti vya ndoa na hata wangesaini wangechagua ndoa za wake wengi. Ye alishakubaliana na mama ngina kuwa ndoa yao ni monogamous.
 
Last edited by a moderator:
nicas unafikiri anakoma huyu babu?yale ya ununio kashasahu anatuletea mke mwingine humu!siye tushamzoea mama ngina wa watu nae kamvumilia kama nini miaka kibao!juzi tumemwangushia bonge la pati la besidei ye zawadi zile kauza kaenda kuolea mke!

Afu zawadi yangu inaniuma kweli.
Nimejinyima kula nyama mwaka mzima nakula tembele kwa kwenda mbele ili nibane vijipesa nimletee zawadi,
afu leo hii anaiuza anaenda kuolea!!
Patachimbika Wallah!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani snowhite ondoa shaka,
Kwanza tunaanzia Pale Tabata Ubaya Ubaya, siku Hiyo Tutapabadilisha jina patakuwa Tabata Kizunguzungu,
Afu kumbuka nilikutonya kuhusu huyo Mjane,
si alikuwa anasave ile meza iliyo karibu na Pool table!
Me nilimuona sana alivyokuwa anajishaua kutikisa Vikalio vyake.
Haloo!! haloooo!!
Yani ni Mkong'oto kwa Kwenda Mbele.

Hv shosti ushawahi Kuona Kichapo wanachotoa Wanawake walio masingle kwenda kwa mwenzao aliyeolewa?
Ndo siku hyo, Girls In Action...!! (Kwa Msaada wa Watu wa Marekani)[/QUOTE]
ahahhahhaahah atatukoma huyu babu!af umeona alivyo mjanja eti kajichimbia sehemu kimya!kama sikosei anakula kombe huko!nakwambia atalitapika!
 
Afu zawadi yangu inaniuma kweli.
Nimejinyima kula nyama mwaka mzima nakula tembele kwa kwenda mbele ili nibane vijipesa nimletee zawadi,
afu leo hii anaiuza anaenda kuolea!!
Patachimbika Wallah!!

umeona enh!wala tusimwache apumue hata kama kakimbia humu atarudi tu,ngoja niwaite kina watu8 mapema watushike maana nahis tutachafua barabara pale tabata relini!
 
Last edited by a moderator:
Madame B najaribu kuwapigia wale wadada wa hekaheka wala hawapokei simu. Subiri kidogo nimtafute mama Ngina nimsindikize mahakamani akaweke pingamizi maana ndoa yake na Mtambuzi ni ya mke mmoja. Mtambuzi asituletee hadithi za babu na baba hapa hao wazee hawakuwa wana sign vyeti vya ndoa na hata wangesaini wangechagua ndoa za wake wengi. Ye alishakubaliana na mama ngina kuwa ndoa yao ni monogamous.

Hapo ndo penye kunoga.
Alitamka mwenyewe pale kwa Ustadhi Ubwabwa, mbele ya Tezo na Ubani Ndoa.
Afu leo aje kuoa,tena Mjane,
Hamna hyo makitu.
Endelea kufuatilia huko kwa akina Gea,
ukishindwa nitampigia Shigongo nimwite au nitamshtua Bi. Uffo Salo wa ITV maana naye Mh!
Watoto wa Mjini wanakwambia, Hajali Lolote.
 
Last edited by a moderator:
Yaani snowhite ondoa shaka,
Kwanza tunaanzia Pale Tabata Ubaya Ubaya, siku Hiyo Tutapabadilisha jina patakuwa Tabata Kizunguzungu,
Afu kumbuka nilikutonya kuhusu huyo Mjane,
si alikuwa anasave ile meza iliyo karibu na Pool table!
Me nilimuona sana alivyokuwa anajishaua kutikisa Vikalio vyake.
Haloo!! haloooo!!
Yani ni Mkong'oto kwa Kwenda Mbele.

Hv shosti ushawahi Kuona Kichapo wanachotoa Wanawake walio masingle kwenda kwa mwenzao aliyeolewa?
Ndo siku hyo, Girls In Action...!! (Kwa Msaada wa Watu wa Marekani)[/QUOTE]
ahahhahhaahah atatukoma huyu babu!af umeona alivyo mjanja eti kajichimbia sehemu kimya!kama sikosei anakula kombe huko!nakwambia atalitapika!

Na kulinywa tena,huku kawekewa Mtutu wa Bunduki Usoni.
 
Afu zawadi yangu inaniuma kweli.
Nimejinyima kula nyama mwaka mzima nakula tembele kwa kwenda mbele ili nibane vijipesa nimletee zawadi,
afu leo hii anaiuza anaenda kuolea!!
Patachimbika Wallah!!

Mwacheni mzee wa Ununio amalizie uzee wake kwa amani jamani..uzuri wa kombe mligombee...
 
umeona enh!wala tusimwache apumue hata kama kakimbia humu atarudi tu,ngoja niwaite kina watu8 mapema watushike maana nahis tutachafua barabara pale tabata relini!

Yani SUMATRA watusamehe siku hiyo,
Maana Tutaing'oa reli na kuiweka pembeni ili tupate Uwanja wa Mapambano.
Ni Mpambano Mwanzo Mwenga,
Mpaka Mama Ngina arejee Mikononi mwa Mtambuzi.
 
Last edited by a moderator:
Yani SUMATRA watusamehe siku hiyo,
Maana Tutaing'oa reli na kuiweka pembeni ili tupate Uwanja wa Mapambano.
Ni Mpambano Mwanzo Mwenga,
Mpaka Mama Ngina arejee Mikononi mwa Mtambuzi.

na wakazi wote wa darisalama wanaokaa pande za tabata nao pia wakae kushoto!mama ngina anabaki kuwa mother house mpka mwisho wa dahari ye anataka kuoa mke size ya Mkatakiu ili kiwe nini?af wakimpora kina Saint Ivuga atakuja kuleta mada humu ndani inasomeka hivi''mke wangu wa pili kakimbilia kwa wenye damu changa'' nani anataka hzo aibu humu!ah
 
Last edited by a moderator:
Yaani snowhite ondoa shaka,
Kwanza tunaanzia Pale Tabata Ubaya Ubaya, siku Hiyo Tutapabadilisha jina patakuwa Tabata Kizunguzungu,
Afu kumbuka nilikutonya kuhusu huyo Mjane,
si alikuwa anasave ile meza iliyo karibu na Pool table!
Me nilimuona sana alivyokuwa anajishaua kutikisa Vikalio vyake.
Haloo!! haloooo!!
Yani ni Mkong'oto kwa Kwenda Mbele.

Hv shosti ushawahi Kuona Kichapo wanachotoa Wanawake walio masingle kwenda kwa mwenzao aliyeolewa?
Ndo siku hyo, Girls In Action...!! (Kwa Msaada wa Watu wa Marekani)[/QUOTE]
ahahhahhaahah atatukoma huyu babu!af umeona alivyo mjanja eti kajichimbia sehemu kimya!kama sikosei anakula kombe huko!nakwambia atalitapika!

Mnh! Mbona kama naanza kumhurumia vile! Mtambuzi kama vipi badili mawazo maana nawajua shosti zangu timu ikitimia utatapika kweli ohoooooo!
 
Last edited by a moderator:
na wakazi wote wa darisalama wanaokaa pande za tabata nao pia wakae kushoto!mama ngina anabaki kuwa mother house mpka mwisho wa dahari ye anataka kuoa mke size ya Mkatakiu ili kiwe nini?af wakimpora kina Saint Ivuga atakuja kuleta mada humu ndani inasomeka hivi''mke wangu wa pili kakimbilia kwa wenye damu changa'' nani anataka hzo aibu humu!ah

Hapo Chacha,
yani anaoa mwanamke Used but M-bichi afu ategemee akina Masharobaro Saint Ivuga wakajisevie wapi?
Yani siku hyo Pale Tabata, Dar itahamia kule.
Mtu Tatu kama vile Elfu Tatu.

Halafu nilitaka kusahau, itabidi tukakate Sare tuvae siku ya Tifu ili iwe rahisi Kukumbukana hata tukikimbizwa na FFU....lol
 
Last edited by a moderator:
Mnh! Mbona kama naanza kumhurumia vile! Mtambuzi kama vipi badili mawazo maana nawajua shosti zangu timu ikitimia utatapika kweli ohoooooo!
we muache tena ngoja nitafute kabisa kitambaa nikiwekee fito huku na huku nikiandike maneno haya ''operesheni rudisha mama ngina kwenye himaya yake''

af nakishikilia pale tabata relini huku mimi kule Madame B
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom