Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

hubby mzima weye?? umeamkaje?? mi mith u thana, naomba ruhusa mapema leo kuna shughuli kwa gfsonwin na Asprin babu anasoma dua home kwake! sitachelewa kurudi kha! mwahhhhh!

jamani wanume anaibiwa kwa vingi sasa cacico unafikiri mumeo atakuruhusu uje kwenye shughuli kwangu? wakati anajua kuwa huyo Asprin ameshapona?
 
Last edited by a moderator:
Bado nakikumbuka kiuno chako my dear and darlin cacico. Unaonaje ukimpiga chini Young_Master. Mie kushea hata siwezagi bana!

mn3.jpg
Asprin unataka hati miliki??? we wako yuleeeeee na mtu fudengefudenge umeshammwaga?? au unataka mi niache huku halafu we uliendeleze na mkeo!! kwanza ulinzi upo?? naogopa plaiz!
 
Last edited by a moderator:
shshshshs kungwi gfsonwin! we si msiri wangu wa moyoni? mbona hivyo lakini??

haya ngoja nikunong'onezepo, mpe kwanza leo hadi atosheke kabisa kisha nawia maji ya baridi ukilete huku nikitibie uone kama utamu wake utakuwa na mfano kwa mtu yeyote. yaani kila atakaye kigusa tu lazima umlize kwa utamu.
 
nimechukua maji ya udzungwa kabisaaa! sasa unasema nianzie kwa hubby kuhusu dose, then kwa Asprin! kha, nitachokaje?? yaani by the way machangu huwa wanawezaje kugawa dose hata kwa watu watatu per nite?? kha! wana extra energy si bure!
 
Last edited by a moderator:
nimechukua maji ya udzungwa kabisaaa! sasa unasema nianzie kwa hubby kuhusu dose, then kwa Asprin! kha, nitachokaje?? yaani by the way machangu huwa wanawezaje kugawa dose hata kwa watu watatu per nite?? kha! wana extra energy si bure!

ma dearest cacico machnagu huwa wanatumia egogenic aids kwaaajili ya kuwapa nguvu hawaendi wakavu hata kidogo. magine wewe huyo tu wa ndani nanga inapaa utaweza kuongeza mwingine?
 
Last edited by a moderator:
lol! nitakuwa imara kupita imara yenyewe, ila naniliu mmmmhhhh iache bwana, itakuwa imetoka kugongwa muhuri wa ODM! lol! Erickb52 mzima baba??
Sijambo cacico ingawa nina matatizo madogomadogo ya naniliyu kunisumbua lol
Natafuta tabibu bado hajajitolea
 
Last edited by a moderator:
Asprin unataka hati miliki??? we wako yuleeeeee na mtu fudengefudenge umeshammwaga?? au unataka mi niache huku halafu we uliendeleze na mkeo!! kwanza ulinzi upo?? naogopa plaiz!

Niko radhi kumpiga chini wife kwa ajili yako cacico. Hivi una kioo ujione ulivo mzuri? Nabata ushungu wallah.... ndo maana Young_Master anachanganyikiwaga asee

genevieveN1.jpg
 
Last edited by a moderator:
hubby mzima weye?? umeamkaje?? mi mith u thana, naomba ruhusa mapema leo kuna shughuli kwa gfsonwin na Asprin babu anasoma dua home kwake! sitachelewa kurudi kha! mwahhhhh!

Ila chonde chonde usije ukang'ang'ania kwangu sababu ya mautamu ukasababisha Young_Master akutumie mgambo kama siku ile mgambo kama siku ile

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Wakulu ngoja nitanguliemo nikajikoki tayari kwa ukaguzi....

Ucpime.jpg
 
Niko radhi kumpiga chini wife kwa ajili yako cacico. Hivi una kioo ujione ulivo mzuri? Nabata ushungu wallah.... ndo maana Young_Master anachanganyikiwaga asee

hii picha nimeitafuta leo sana! mpaka mabwepande nimefika nikijua DHAIFU labda kaiteka afanyie ufedhuli wake! kumbe babu Asprin umeichukua! ,mbona umesahau kuigongea chata ya ODM/? ndio najiandaa naja, sasa hivi mwahhhh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom