Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

Ukweli nimeumia, babu sijafurahi
radhiyo naingojea, fasta fasta we uwahi
kabla dongo sijatupia, nashindwa kujistahi
pona yako we ni kero, kwanza ushazeeka!!!

ukaguzi we huwezi, aliyesema cacico
za zamani hazikizi, hamu za waja kwako
twachie wenye mizizi, fuata saizi yako
pona yako we ni kero, kwanza ushazeeka!!!
Mentor mbona sikusomi kwenye rada yangu jamani?? upo?? mithd u kha!
 
Last edited by a moderator:
do remember t papito! was maverlous! i realy enjoyed, n u knw what Young_Master kaona chata ya ODM kwenye nyonga haelewi ni nini, anadhani maua! mwahhh Asprin my babu am coming!
Bado nakikumbuka kiuno chako my dear and darlin cacico. Unaonaje ukimpiga chini Young_Master. Mie kushea hata siwezagi bana!

mn3.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ukweli nimeumia, babu sijafurahi
radhiyo naingojea, fasta fasta we uwahi
kabla dongo sijatupia, nashindwa kujistahi
pona yako we ni kero, kwanza ushazeeka!!!

ukaguzi we huwezi, aliyesema cacico
za zamani hazikizi, hamu za waja kwako
twachie wenye mizizi, fuata saizi yako
pona yako we ni kero, kwanza ushazeeka!!!

Will be right back!!!

:hat::hat::hat::hat:
 
uniDIPU! nadhani nitakuwa nashughulikia chata yangu ya pili ya ODM kwa babu Asprin, nikitoka hapo nduki sana bila kugeuka kwa hubby nisijeachika jumla mie kha!
Sawa cacico ila hakikisha unakujaukiwa imara sana kimwili na kinanii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom