Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,356
Ngoja mpendwa gfsonwin nikukabidhi shukrani kwa mistari....... Khaa! Ulinitibuje?


Tiba ulonipatia, gfsonwin sikia,
Imenishika sawia, Maradhi yameishia,
Niko gado nakwambia, vitu naweza shushia,
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Nimepona nawambia, Yummy cacico sikia,
Mshedede kama gia, uko imara sawia,
charminglady sogea, utamu ntakupatia
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

sweetlady aminia, hata na Blaki Womani,
Preta kwangu karibia, utamu nambari wani,
Nawe BADILI TABIA, Bishanga atakupani?
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Uko wapi CUTE wangu, Mamndenyi nangojea,
Remmy wa moyoni mwangu, hata ney kush pia,
Mtambuzi ndugu yangu, debe weza nipigia?
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Homi Kaizer sikia, ndugu yako nimepona,
Nahitaji kukagua, Jukuu zangu hiyana,
Waweza nisaidia, kukaba bila kubana?
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Kongosho
wangu wa ndani, asali ya asilia,
afrodenzi wa moyoni, njoo nipate pumua,
TaiJike wa zamani, nataka kukurudia,
Nimepona Asprin, njooni niwakague.

Nyote kwangu karibuni, Mabinti mwanisikia?
Mabinti kwangu njooni, huduma kuwapatia,
Njooni ukaguzini, kazi yangu kukagua,
Nikisha kuwakagua, Gharama sitawachaji.

Na: Asprin a.k.a babu ODM'
Kaunta ya Juu,
Fyatanga Bar
KingStar Boko Basihaya.

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kusomwa na Young_Master, Erickb52, Mentor, Lily Flower na FirstLady1
 
Last edited by a moderator:
nakuja babu Asprin! coming sasa hivi, but shshshshsh USIMWAMBIE Young_Master!

Oh! Wahi baby, nimekumisi sana.... I wanna kiss you my love. Remember our day cacico?

mariah6.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana babu yangu kwa kupona
Nilidhani huumwi kumbe kweli!....
Hakika tabibu wako anastahili pongezi......!
Kakupa dawa ya ajabu.....lakini ukiitumia......
 
Ngoja mpendwa gfsonwin nikukabidhi shukrani kwa mistari....... Khaa! Ulinitibuje?


Tiba ulonipatia, gfsonwin sikia,
Imenishika sawia, Maradhi yameishia,
Niko gado nakwambia, vitu naweza shushia,
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Nimepona nawambia, Yummy cacico sikia,
Mshedede kama gia, uko imara sawia,
charminglady sogea, utamu ntakupatia
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

@sweetlady aminia, hata na Blaki Womani,
Preta kwangu karibia, utamu nambari wani,
Nawe BADILI TABIA, Bishanga atakupani?
Aaaaarrrrrooooo hapo kwenye red unasemaje? nitakugecha ujue?
 
Babu Asprin nakuja kwanza ..Ni juu ya nini tena ? kumbe kuna mtu alikuwa anakupapasa ? Mjukuu wako Mtiifu MJ1 ana habari ya huu utenzi??
Na je huu Utenzi una TBS?
 
Last edited by a moderator:
lolest! jamani mmejione wenyewe, kumbe miye wa ukweeehehhh!

nilimfunda Erotica kesho yake akapata mchumba aliyenunua na mimba yake ya mapacha.

nilimwekea tego Asprin ili asiendelee kuleta uharibifu kwa ndoa ya cacico na Young_Master.

nilizama msituni kutafuta dawa na kisha kumpatia na sasa amerudi ulingoni. Ama kweli gfsonwin yuko juu aisee.

sasa leo natangaza rasmi kwamba Kaizer twende zetu tukapatepo raha huyu Asprin aendelee kukagua wajukuu zake ila tu awe makini safari hii hatakojoa dagaa bali samaki kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom