Ahmed Zahoro Msangi bado ni RCO wa Dar?

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Nijuzeni nijue kwani kuna tetesi kuwa huyu jamaa aliyetajwa na ULIMBOKA kaonekana Arusha wiki hii...ATIWE MBARONI.
 
Nani wa kumtia mbaroni? hajatiwa Zuberi Mwombeki itakuwa yeye bana? haf familia yao ya mapolisi nakumbuka baba yake mzee Zahoro RIP alikuwa polisi,mama yao polisi na sasa kina ahmed
 
Nijuzeni nijue kwani kuna tetesi kuwa huyu jamaa aliyetajwa na ULIMBOKA kaonekana Arusha wiki hii...ATIWE MBARONI.
Familia ya Ahmed Msangi inakaa Arusha. Kwa hio sio jambo la ajabu akionekana Arusha, labda kaja tu kusalimia mke!
 
Familia ya Ahmed Msangi inakaa Arusha. Kwa hio sio jambo la ajabu akionekana Arusha, labda kaja tu kusalimia mke!

Huyu hapa muulize
ahmed.png
Kamanda%252520Ahmed%252520Msangi%252520alietaka%252520kumuua%252520Dr%252520Ulimboka_thumb%25255B2%25255D.jpg
 
Back
Top Bottom