Ahmed shabiby (mb gairo) amlipua mkuregenzi morowasa bungeni,..!

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge machachari,kijana na mjasiriamali maarufu..,Ahmed Shabiby (mbunge wa gairo) amemlipua mkurugenzi wa shirika la maji mkoani morogoro..! huku akitoa tuhuma nzito kuhusu kustaafu kwake lakini bado anaongezewa muda wa kufanya kazi, wakati akihoji amestaafu kwa sheria sababu ya umri..! wakati kukiwa na wataalamu kibao kuhusu masuala ya maji yeye bado anaongezewa mkataba..,pia amemsihi waziri Maghembe kuhahakikisha Huyo mkurugenzi asiendelee kuongezewa tena mkataba kwakuwa unaisha mwezi huu huku akiohofia kwa kuwa ni KABILA moja (wapare) anaweza kumlinda...,sababu kubwa ya Mh.Shabiby kumlalamikia mkurugenzi huyo wa MOROWASA Mkoani morogoro ni kwakuwa amekuwa mkurugenzi kwa muda mrefu huku bado kukiwa na tatizo kubwa sana la MAJI morogoro ukizingatiwa morogoro ina mito mingi na vyanzo vingi vya maji kana mkurugenzi huyo ameshindwa kutimiza wajibu wake...! wana morogoro mpoooooo napenda kuwasilisha
 
Back
Top Bottom