Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 13,380
- 9,749
miiran bana nchi ina kila kitu yaani ni kukaa chini na kula matunda tu wao wanawaza ubabe tu ili wawe kama marekani yaani hadi wamewasahau wananchi wao kisa waidhibiti Israel... yaliyomkuta Saddam hadi leo Siamini Maisha ya Raha hadi kifo cha aibu.... si waache kutengeneza silaha za nyuklia na waendelee na maisha mazuri... kuna maoni nilishasikia wananchi hawataki kabisa hiyo nyuklia ila uongozi tu... Haya mafundisho yao ni Taabu sana