Ahly Athletic Club vs Dar Yanga Africam

naona sasa mchezaji wao Hatari anaingia...na Kipindi cha 2 wanakatika sana Yanga...

Kaseja yu wapi?
 
Mmebakia na professional tu tunapofungwa ndo maana hatusongi mbele, ndo wachezaji tulionao sasa mnataka tufanyaje manake kazi zenu kulaumu tu kuonyesha njia hamuonyeshi then haisaidiiiii
 
still they have time ya kufanya vema...ila baadhi ya wachezji Jazba zitawaharibia zaidi...
 
Hawa jamaa kweli mabingwa wa afrika, manake naona wengi hapo ndo wanaunda timu ya taifa ya misiri
 
Mmebakia na professional tu tunapofungwa ndo maana hatusongi mbele, ndo wachezaji tulionao sasa mnataka tufanyaje manake kazi zenu kulaumu tu kuonyesha njia hamuonyeshi then haisaidiiiii
kufungwa ni gemu tu,nilimaanisha kuwa haina haja ya kutafuta kadi za bure wakati kuna mechi ya marejeano nyumbani.
 
Kilichobaki kutafuta red Card ili wadai wameonewa na refa mwarabu!!
 
Yanga nao! mamluki kibao: Mserbia, Mwalala, Ambani, Owino na Baraza! Wote ndani, na bado jahazi linazama!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom