ahahhahahaha..cheka na mimi..

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Mmasai
aliamua kwenda kutembea jijini DAR..baada ya kukaa
kwa muda wa mwezi mmoja hivi alimiss sana pombe
yake na hakujua mahali pa kuipata...,siku moja
akaamua kwenda Bar Maeneo ya kinondoni
shamba...na mazungumzo yalikuwa hivi..
Baa medi: "...halloo karibu.."
Mmasai: "Aksante mamaaa yoyoooo...."
Baa medi: "Nikusaidie nini tafadhali..!!"
Mmasai akaangalia meza ya nyuma na ya mbele kwa
haraka sana... kisha akamwambia baa medi letea mimi
kama ile nafanana na nkojo ya mende...
Hapo jamaa alikuwa akimaanisha safari kwani mteja
wa meza ya mbele alikuwa anakunywa hiyo..
Baa medi kaenda na karudi na bia ya safari
akamwambia mmasai hii hapa...
Mmasai: "Haya bomoa..!!" (akimaanisha fungua)
Baa medi akafungua ile anamaliza tu
....Mmasai akamwambia: "Haya sasa pima ya silingi
hansini, ingine rudisa...."
 
Back
Top Bottom