Ahadi!

Hahaha nimejaribu kuunganisha ........ sipati kitu!Jamaa hana sababu ya kudanganya bana!

cgan1071l.jpg

...Goodluck na hizo recordings.
Wengine tayari (treasured mementos) wedding fotos kama hazijachomwa moto, zimesahaulika kwenye maboksi zimejaa vumbi kama sio kunyewa na mende/kuliwa na panya.
 
...Goodluck na hizo recordings.
Wengine tayari (treasured mementos) wedding fotos kama hazijachomwa moto, zimesahaulika kwenye maboksi zimejaa vumbi kama sio kunyewa na mende/kuliwa na panya.
Orait..dah ila ni ajabu sana watu wanavyoanzaga kwa mbwembwe na kumaliza kwa fujo!Utadhani sio wale waliolishana keki kwa mdomo na kushikana nonstop
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom