Ahadi za Kikwete zafikia Trillion tisini (90 trillion tsh)

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Wakuu, nimepiga mahesabu ya jumla ya thamani za ahadi alizotoa kikwete katika kampeni zinazoendelea, so far thamni yake ni tshs 90,0000,0000,0000 au 90trilioni, kwa kuwa bajeti yetu ni trilioni 7 anahitaji miaka 12 kutimiza hizi ahadi ikiwa najeti yote itakuwa tu kutimiza ahadi zake. Kwa maana nyingine endapo atatumia tu 30% ya bajeti kutimiza ahadi zake ni wazi atahitahi si chini ya miaka 45 kutimiza hizi ahadi. Katika mahesabu yangu sikutumia formula kama net present value or discounted cash flow ,or arr etc

mh!!!!

Naomba na wengine mfanye analysis

nimechukua ahadi zake kwenye magazeti kama anayotangaza mwenyewe.
 
wakuu, nimepiga mahesabu ya jumla ya thamani za ahadi alizotoa kikwete katika kampeni zinazoendelea, so far thamni yake ni tshs 90,0000,0000,0000 au 90trilioni, kwa kuwa bajeti yetu ni trilioni 7 anahitaji miaka 12 kutimiza hizi ahadi ikiwa najeti yote itakuwa tu kutimiza ahadi zake. Kwa maana nyingine endapo atatumia tu 30% ya bajeti kutimiza ahadi zake ni wazi atahitahi si chini ya miaka 45 kutimiza hizi ahadi. Katika mahesabu yangu sikutumia formula kama net present value or discounted cash flow ,or arr etc

mh!!!!

Naomba na wengine mfanye analysis

nimechukua ahadi zake kwenye magazeti kama anayotangaza mwenyewe.
mpeni miaka mitano zaidi ana ari mpya atatekeleza haya kwa uwezo wa utajili uliopo tz!
 
Ndugu zangu, hata mimi nazishitukia ahadi za Kikwete kwani zimezidi sana, ukizingatia ahadi zake kwa kipindi alichomaliza utekelezaji wake haukuwa makini. Nyingi hazijafanyiwa kazi nadhani hii ni gia ya kuombea kura tu, tuwe makini jamani na ahadi za wagombea
 
Ndugu zangu,huu ni wakati wa kutokubali kuendelea kudanganywa kwa kiwango hicho na Mr kikwete,tuamke na tuwasaidie na wengine kuamka na kuzikataa hizi siasa za maji taka,kwa njia kura kwa mtu sahihi hapo tarehe 31/10/2010,kwa ngazi zote za wagombea,watanzania tusifanywe wajinga kiasi hicho!
 
mpeni miaka mitano zaidi ana ari mpya atatekeleza haya kwa uwezo wa utajili uliopo tz!
hata akipewa nusu karne huyu jamaa hawezi fanya lolote la MAANA.
ahadi zake za mwaka 2005 ametekeleza kwa kiasi kidogo sana, lakini bado anajigamba kwamba ametekeleza kwa 82%.
HANA UWEZO WA KUONGOZA HUYO
 
Labda atatumia uwezo wa shehe yahya ambaye anampa ulinzi.
 
Huyu JK sasa amechanganyikiwa itaichukua serikali yetu miaka kumi kuzitekeleza ahadi hizo hii ikmaanisha ya kuwa tuache mambo mengineyo kabisa. Jambo ambalo haliwezekani kabisa.

Na kama tukifuatilia kutekeleza mambo mengine kwenye bajeti basi itatuchukua miaka hamsini hivi ijayo kufanikisha program za huyu Mheshimiwa laghai mkubwa kabisa................
 
Wakuu, nimepiga mahesabu ya jumla ya thamani za ahadi alizotoa kikwete katika kampeni zinazoendelea, so far thamni yake ni tshs 90,0000,0000,0000 au 90trilioni, kwa kuwa bajeti yetu ni trilioni 7 anahitaji miaka 12 kutimiza hizi ahadi ikiwa najeti yote itakuwa tu kutimiza ahadi zake. Kwa maana nyingine endapo atatumia tu 30% ya bajeti kutimiza ahadi zake ni wazi atahitahi si chini ya miaka 45 kutimiza hizi ahadi. Katika mahesabu yangu sikutumia formula kama net present value or discounted cash flow ,or arr etc

mh!!!!

Naomba na wengine mfanye analysis

nimechukua ahadi zake kwenye magazeti kama anayotangaza mwenyewe.

Tupatie mchanganuo zaidi ili tuweze kujua umepataje hiyo Trilion 90. Baada ya hapo tutafanya analysis zaidi.
 
Waandishi wa habari tunaomba wamuulize kikwete hizo ahadi za trillion 90 ataweza vipi kuzikamilisha ndani ya miaka mitano wakati budget ya nchi ni trillion 11 kwa mwaka na miaka 5 ni trillion 55 hizo zingine trillion 35 zitatoka wapi.
 
Wanahela nyingi sana hawa ati..hawajaamua tu. Ila tusiwape kura wasije wakaweka maisha yetu majaribuni
 
Naamini kwamba wana_CCM na wale wanaomshabikia huyo Dr wa kuchota ni mambumbu kupindukia kuzishabikia ahadi hizo! Kweli CCM imekwisha!!!!!
 
Jamani tusaidiana kulinda kura.mbona mikoani wanaweza? mimi na mke wangu na wadogo zangu 4,wote ni mawakala,na hatuhitaji malipo.
 
Jana nimemsikia akiongeza ahadi nyingine mbili; kuwapa wachimbaji wa dhahabu eneo la stamico huko mza na kuwajengea gati, haya!
 
Hii ni kipande nemekinukuu toka hotuba ya Mhe. Mkulo ya Bunge la Bajeti ya 2010/11. Soma katikati ya mistari halafu ujiulize kama hizo ahadi za JK zina ukweli wowote. Bila shaka utangundua kuwa ni uongo na usanii wa mchana kweupe. Kulingana na Bajeti ya Serikali ya Tshs matumizi itawachukua CCM MIAKA ZAIDI ya 10 ijayo kutekeleza ahadi zote!!!!!!!!!!!!!!!!Kweli CCM mnachekesha hata na waliokufa!!!! Kwa ahadi hizi na bajeti inavyoonyesha JK inaitengenezea CCM KIFO CHA MENDE 2010/2015.

In total, the budget revenues will be as
follows:
Tshs. bn
Domestic Revenue..................................... 6,003
Grants and Loans.......................................3,275
Domestic borrowing................................... 1,331
LGA collections..................... ......................173
Domestic borrowing (Roll over) ......................798
Privatisation Proceeds................................... 30
Total Revenue............................................11,610

In meeting the 2009/10 budget,alternative financing sources were explored including borrowing from the domestic financial markets. It was envisaged that recurrent expenditure will be fully funded by domestic revenue. However, the revenue target
was not achieved due to shortfalls in a number of taxes, including the excise duty due to decrease in production of taxable products such as cigarettes, beer and soft drinks. By March 2010 a total of Tshs 424.4 billion worth of bonds were sold in the domestic market.Donor dependency is expected to decline for the upcoming year with a decrease in budgeted revenue from grants and loans to comprise 28% of the total annual budget of 2010/11 (compared to 33% for the 2009/10 budget)

Expenditure
The Government is proposing to
spend Tshs 11,610 billion in 2010/11
as follows:
Tshs bn
Recurrent......................................... 7,791
Development.................................... 3,819
Total Expenditure............................ 11,610

Government expenditure in 2010/2011
will focus on:


• Ensuring that the National elections planned for October 2010 take place as scheduled;
• Improving infrastructure;



• Improving productivity in the agriculture and livestock sectors;


• Increasing access to clean and safe water;


• Strengthening and developing

 
Waandishi wa habari tunaomba wamuulize kikwete hizo ahadi za trillion 90 ataweza vipi kuzikamilisha ndani ya miaka mitano wakati budget ya nchi ni trillion 11 kwa mwaka na miaka 5 ni trillion 55 hizo zingine trillion 35 zitatoka wapi.

Ni kiongozi mmoja tuu na tena kwa ujasili wake pamoja na kuwa nae alikuwa Rais wetu na alifanya yake mazuri na mabaya na akamaliza muda wake Ndg Ben Mkapa aliwahi tamka kuwa " ILANI YA CCM HAITEKELEZEKI " sasa sielewi ni kweli hawa viongozi wetu huwa hawajui kumbukumbu na Takwimu ili waweze kuona alama za nyakati?

Sasa kama Rais uliyepo madarakani kuto ahadi zote hizo ni za nini toa ahadi chache ambazo zinatekelezeka kwa muda kadhaa na unawambia wananchi hichi ndicho nilicho wahadi muhura uliopita na sasa naombeni ridhaa yenu nyingine nitimilize haya yaliyo baki kama uahadi zilikuwa 10 na ukatekeleza 4 basi unawambia namalizi ahadi 6 zilizo baki. Obviously wananchi sio wajiga kiasi hicho wasikupe ridhaa ya muhula wa mwisho.

Sasa kama watoa ahadi lukuki si ndio wakiiua CCM kabisa maana katka miaka 5 huwezi timiliza ahadi hizo zote utajikuta zingine ulijenga msingi wake ukausahau zingine ukazifikishia nusu na zingine nsio kabisaaa ulisha sahau hata uliweka msingi kule au pale

 
this is crazy eeeh...? unatoa ahadi za trillion 90 wkt in the past five yrs hata kilometa moja ya rami hujajenga..???

halafu unatenga billion 30 kwa chai...!
 
Mdahalo ungemaliza tatizo hilo kwani angebidi atoe breakdown ya jinsi atakavyozipata na jinsi atakavyozitumia ndio maana amekimbia mdahalo,Ahadi zake hazina reference nisawa na ahadi za mlevi.
 
Back
Top Bottom