HIV mnahis hizo bil 12 zmetoka tu bila kujulikana zinaenda kufanya nin na jins gan zitaleta 1tirion kumbuka katika hyo faida mahakama watapewa 25% ya hyo hela so its win win situation hata kama haitafika Ila itazalisha kias fulan ambacho ni kama faida kwenye hyo 12.3 bilion
Hata huyo unayemsema "God" hakubaliki na wote.No one is doing exact perfect, only God. Jamaa atakubalika na wote. It is a matter of time.
Na unaitwa Expert Member?Ninapata mashaka na washauri wa raisi! Unaipelekea mahakama bilioni 12? Ili iweje maana haiwez pandisha mishahara maana hiyo ni kazi ya hazina, sijaelewa itatumikaje hlf inamaana ndo itatua matatizo yote ya mahakama?? Jamaa anapunguza matumizi kwa kufanya matumizi ya ajabu ajabu! Alitakiwa awekeze kwenye vitu vinavyozalisha hela ! Hizo hela watu wanaenda kila tu maana hazieleweki zinaenda kufanya nn!
wazee wa iliyokuwa EAC watalipwa lini? na ahadi ya kila kijiji millioni tano na hii ya mahakama ipi ilianza?
Sasa haki ya raia itakanyagwa hadi TRILION MOJA ipatikane.Kama ni AIRBUS zinazopatikana kwa njia hiyo mimi sipandi.View attachment 321890 View attachment 321889
Wizara ya Fedha na Mipango imetoa sh.bilioni 12.3 kwa ajili shughuli za mahakama ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Rais Dk. John Pombe Magufuli aliyoiahidi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya mahakama.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema fedha hiyo imetolewa kwa kutimiza ahadi ya Rais ya uendeshaji wa shughuli za mahakama.
Mpango amesema kuwa ahadi ya Rais ilikuwa ni ya siku tano ambazo zimetimia kwa kutoa hundi ya sh.bilioni 12.3 ambazo zitakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa.
Amesema kuwa Wizara ya Fedha na Mipango kutokana na ahadi hiyo imefanya kuweka wazi juu ya fedha hizo kwa waandishi wa habari.
Nae Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju amesema lengo ni kuongeza kasi kwa mashauri yaliyopo kuondoshwa pamoja na waliokwepa kodi yashughulilikiwe.
Ahadi ya Rais ilitolewa baada ya maombi ya Jaji Mkuu, Othman Chande katika maadhimisho ya kuanza kwa mwaka wa mahakama kudai kuwa wana uhaba fedha za maendeleo katika kuweza kuendesha shughuli za kimahakama.
Chanzo: Michuzi
Hata CT SCan sijui MRI ya Muhimbili tuliambiwa imenunuliwa kwa bil ngapi hata sikumbuki.
Kumbe wamechukua ya Dodoma!
Sasa huo ni mfano wa cheque tu, hatudanganyiki ng'o!
Hata CT SCan sijui MRI ya Muhimbili tuliambiwa imenunuliwa kwa bil ngapi hata sikumbuki.
Kumbe wamechukua ya Dodoma!
Sasa huo ni mfano wa cheque tu, hatudanganyiki ng'o!
kama hujui kitu ni bora kunyamaza.Unachanganya mambo. Fanya tafiti. Watanzania wengine hawana jema yaani No appreciation kabisa
Hata huyo unayemsema "God" hakubaliki na wote.
Mimi sikubali kwamba yupo.
Huyo jamaa yako ni nani mpaka akubalike na wote?
"Hapa kazitu" ni kaulimbiu inayotimizwa kwa vitendo. Hekima, busara na uaminifu ni misingi mikuu ya maadili mema. Mahakama sasa itimize wajibu wake ipasavyo.
TAFARI CHUKUA HATUA
kati ya ahadi ya milioni tano kila kijjii na ahadi ya Mahakama ipi ilianza? na waliokuwa watumishi wa EAC watalipwa lini?