KNKCU,
Unasema nini? Mimi mwajiri wangu ni kampuni ya China na kule China
inaajiri watu zaidi ya 30,000. Ni katika waajiri wa maana kwa China na ambao
wanakimbiliwa na kila graduate. Mimi mwenyewe nimeenda huko mara tatu.
Mishahara yao kwa Engineers wengi tu ni dola 200. Wanachoambuliwa ni safari za nje ndio zinawasaidia.
Kuna makampuni mengine mengi na hasa kwenye miji midogo ambayo wanatoa mshahara chini ya dola 100.
Kinachowasaidia ni gharama ya maisha pia iko chini ukilinganisha na
sehemu zingine.
Kwa Tanzania tunajidanganya bure kujifanya tunapandisha mishahara kwa kutumia pesa za kukopa.