Elections 2010 Ahadi tano za kizalendo

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
  • Chadema ni tumaini jipya, na Rais 2010-2015, ni Dr SLAA
  • CCM ni adui wa Demokrasia na haki, na sitakubali kuichagua wa kuongozwa nayo
  • Nitaipigia kampeni Chadema kadri ya uwezo wangu na kuwachagua akina SLAA, wengi ili bunge letu liwakomeshe mafisadi
  • Akili ni mali, sitatumia akili yangu wala mali yangu, kukampenia CORRUPTION CONTINUATION MOVEMENT(CCM)
  • Nitasambaza ujumbe huu kadri ya uwezo wangu, ili tukomboe taifa letu
 
Hakika hizi ni ahadi thabiti za kizalendo kwa kila mwenye mapenzi mema na nchi yetu Tanzania

  1. CHADEMA ni tumaini jipya, na Rais 2010-2015 ni Dr. SLAA.
  2. CCM ni adui wa demokrasia na haki, sintakubali kuichagua wala kuongozwa nayo.
  3. Nitapiga kampeni kwa kadiri ya uwezo wangu wote na kuchagua wakina SLAA wengi Bungeni kwa faida ya watanzania wote.
  4. Akili ni mali, sintatumia akili yangu, wala Mali yangu kukampenia Corruption Continuation Movements (CCM)
  5. Nitasamba ujumbe huu kwa kadiri ya uwezo wangu, ili tulikomboe taifa letu Tanzania, Ee Mungu unisaidie.
CHADEMA is a right decision for the change.
 
nin wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri

Wasiwasi wangu ni juu ya uwezo CCM katika kumuinua mtanzania. Ikiwa imeshindwa kulifanya hilo kawa zaidi ya miaka 49 katika uongozi wa nchi.

Uwezo wangu wa kufikiri ndio unaonipa uhakika wa kuwepo mahitaji ya mabadiliko ya kweli katika siasa za nchi hii, ili tanzania iweze kutumia rasilimali zake vizuri kwa maendelea ya wananchi wake. Tumia kura yako ya ndio kwa Dr. SLAA
 
Pamoja na kuwa hayo ni mawazo ya mtu binafsi hakuna kosa kwa maoni yake hayo. Tatizo naliona kwa wale wanaomkosoa kwa kudhani wanajua kumbe hawajui. Kama wanataka kuhalalisha maoni yao basi watoe hoja zinazofaa na ziungwe mkono.
 
Back
Top Bottom