Ahadi na Dira za CCM, 2005-2010, Audio Version

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,958
10,447
Zisikilize kwa makini ahadi hizi ambazo ni sehemu ya ilani ya sisiemu, kisha tuchambue kama wametekeleza kwa usahihi kile walichoahidi ama la. Audio hizi ni sehemu ya CD nzima ya nyimbo za kampeni za CCM za mwaka 2005, zikishirikisha wanamuziki mbali mbali kama vile Mwana FA, Vicky Kamata, Bushoke ,Ngwea na wengineo.

Idimi
 
Attachments

  • CCM - Kidokezo namba 2.mp3
    722.3 KB · Views: 521
  • CCM - Kidokezo namba 3.mp3
    699 KB · Views: 339
  • CCM - Kidokezo namba 4.mp3
    506 KB · Views: 269
  • CCM - Kidokezo namba 5.mp3
    477.8 KB · Views: 245
  • CCM - Kidokezo namba 1.mp3
    447.2 KB · Views: 298
Zisikilize kwa makini ahadi hizi ambazo ni sehemu ya ilani ya sisiemu, kisha tuchambue kama wametekeleza kwa usahihi kile walichoahidi ama la. Audio hizi ni sehemu ya CD nzima ya nyimbo za kampeni za CCM za mwaka 2005, zikishirikisha wanamuziki mbali mbali kama vile Mwana FA, Vicky Kamata, Bushoke ,Ngwea na wengineo.

Idimi

Kama wanataka kurejea yale yale yaliyopita, hakuna Kitu hapo. Watawapata hao hao wasiowajua vizuri.
 
Back
Top Bottom