..Ahadi Mpya ya CCM..iko katika ILANI..?

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
2,280
1,360
..Juzi katika Viwanja vya Jangwani katika Mkutano wa CCM..Mh John POMBE..Magufuli..alisema kuwa wizara yake ina mpango wa Kuanzisha Usafiri wa majini...ambao utakuwa kuanzia Bagamoyo( pwani) hadi Fery (dar es salaam)..kupitia bahari ya Hindi...sasa najiuliza hii Ahadi aliyoitoa Mh Magufuli iko katika Ilani ya CCM..?au inakuaje

Naomba Kufahamishwa....
 
Mkuu Ilani Zao mpaka wasikie CDM wamesema nini wacopy wabadilishe ili iwe zao ndio waseme kwenye mikutano
 
wewe bado unawasikiliza hao marehemu wa mawazo mimi siku nyingi wala sisikilizi akitokea wa ccm kama naangalia tbc nahamia itv akitokea tena ccm nahamia discovery au natio wild naangalia wanyama
 
Magwanda ya khaki yanaporowa jasho, yanatoa harufu kali sana ya kikwapa.

Hamtaki?
 
..Juzi katika Viwanja vya Jangwani katika Mkutano wa CCM..Mh John POMBE..Magufuli..alisema kuwa wizara yake ina mpango wa Kuanzisha Usafiri wa majini...ambao utakuwa kuanzia Bagamoyo( pwani) hadi Fery (dar es salaam)..kupitia bahari ya Hindi...sasa najiuliza hii Ahadi aliyoitoa Mh Magufuli iko katika Ilani ya CCM..?au inakuaje

Naomba Kufahamishwa....

Ni mara ya tatu namsikia Makufuli akitamka hiyo ahadi ya boti za feri hadi Bagamoyo kubeba watu wa Kunduchi, Tegeta, Boko, Bunju na pengine na watu wanaohudhuria mikutano Jangwani. Mara ya kwanza ilikuwa wakati aki-justify kupandisha nauli ya kuvukia Kigamboni kuwa hela ikipatikana itasaidia kununua hizo boti, pili ni pale Mbezi mwisho alipokuwa anazindua kituo cha mabasi pia aliasema hivyo hivyo na ya Tatu ni juzi pale Janwani. Kwanini asisubiri utekelezaji ukaanza ndo akaitoa kama utekelezaji? Hivi na zile BARABARA za juu DSM alizoahidi mkuu wake wakati wa kampeni mbona hazungumzii? au wamenyima kukumbushia?
 
Magwanda ya khaki yanaporowa jasho, yanatoa harufu kali sana ya kikwapa.

Hamtaki?

Soma sehemu hizo nyekundu kishaa....
Wadudu WOTE hatari (Ufisadi, wizi wa mali ya Umma, Uongo wa Ahadi za kampeni na OUZO wote wa aina hiyo), HUTOWEKA/HUFA kama kunguni, mbu, mende na wengine wanaofanana na hao WANAPOLALA CHALI wakikutana na HARUFU ya KIKWAPA cha EXPEL. Hivyo, OGOPA vibaya sana Magwanda ya khaki yanapolowa jasho!
 
wewe bado unawasikiliza hao marehemu wa mawazo mimi siku nyingi wala sisikilizi akitokea wa ccm kama naangalia tbc nahamia itv akitokea tena ccm nahamia discovery au natio wild naangalia wanyama

Unaangalia wanyama au Wassira?
 
..Juzi katika Viwanja vya Jangwani katika Mkutano wa CCM..Mh John POMBE..Magufuli..alisema kuwa wizara yake ina mpango wa Kuanzisha Usafiri wa majini...ambao utakuwa kuanzia Bagamoyo( pwani) hadi Fery (dar es salaam)..kupitia bahari ya Hindi...sasa najiuliza hii Ahadi aliyoitoa Mh Magufuli iko katika Ilani ya CCM..?au inakuaje

Naomba Kufahamishwa....

JKubwa alitoa ahadi za viwanja vya ndege kila kona na imekwama ya Magufuli ni hayo hayo...to hell mafisadi
 
Back
Top Bottom