Elections 2010 Ahadi endelevu katika uchaguzi

Negative255

New Member
Sep 5, 2010
3
0
Kwa mtazamo wa haraka haraka katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, nimeshuhudia wanasiasa wengi wakishidwa kutimiza ahadi walizotupa hapo mwanzo. Na sasa wanarudi tena katika majukwaa ya siasa na kutuomba ridhaa ili tuwape muda mwingine, cha kushangaza ni kwamba! baada ya kukaa na kutueleza ni vipi wameshindwa kutimiza ya mwanzo bali wanaendelea kutupa ahadi mpya ZAIDI na sisi tunawashangilia.

Hatujachelewa sana, muda wetu ni huu
 
Back
Top Bottom