Agricultural Economics and Agribusiness Group

Madam X

Member
Sep 2, 2012
5
1
Chama chenu hakina mvuto tangu tukiwa chuoni na sababu kubwa ni tabia yenu mbaya ya ubaguzi mliokuwa nayo ! mlikuwa mnawaangalia vibaya sana watu wa kozi nyingine wanapo elect masomo yenu kama electives. Angalia TVA, TSAP na vyama vingine vinavyozidi kuchanua!
 
Ya kale yamepita tazama sasa yamekuwa mapya!

karibu ujiunge nasi ujionee.
 
me love agriculture and uts related disciplines.....but professionally sijasoma agriculture, je am I welcome on board ktk chama? Au chama ni purely a professional association?

Vp tuhuma za ubaguzi from baadhi ya members je kuna ukweli wowote? Kwa nini mnabagua? Kwa interest ya nani? Je hiyo tabia ya ubaguzi bado ndio msimamo wa chama au mmeacha....na kama mmeacha ni kwa utaratibu upi?

Ni hayo machache tu asante
 
Hakuna matabaka...

na hakijawahi kuwa na matabaka.

ni uzushi wa watu tu.
 
Karibu sana Lasikoki...

Chama sio cha professionals tu... mtu yeyote mwenye interest in Agricultural Economics and agribusiness anakaribishwa.

Kikundi hakina ubaguzi wowote... ni propaganda za uongo.

Karibu sana.
 
Madam X kikundi kizuri. tafadhali wasiliana na invisible ili hapa JF ianzishwe forum/jukwaa maalum la agriculture in a wider sense from crop production, animal husbandry, soil science and land tenure, angro mechs, and agroeconomics.
Wahindi wana forum nzuri sana of simila kind and ni very useful. Check it here AgricultureInformation.comAgricultureInformation.com
 
Last edited by a moderator:
zamani kulikuwa na AGREST ambayo ilikuwa kwa wachumi kilimo,miaka ya tisini hadi elfu mbili hivi ,nami nilikuwa memba,je ndo sasa mmebadilisha jina baada ya kuwepo kozi nyingi zaidi na mabadiliko ya jina la idara?
 
Fore all those who are interested in the field of Agricultural Economics and Agribusiness; You are kindly welcomed to join The Tanzania Agricultural Economics and Agribusiness Association (TAGRESA)

This includes All Agricultural Economics Students at SUA (Undergraduate, Masters & PhD) and other parties that have interest in this field.

You are warmly welcomed to the Group.

For any Queries post your Questions Here.

blessings!
Ivi Masters ya Agricultural Economics and Agribusiness ipo hapo Sua
 
Fore all those who are interested in the field of Agricultural Economics and Agribusiness; You are kindly welcomed to join The Tanzania Agricultural Economics and Agribusiness Association (TAGRESA)

This includes All Agricultural Economics Students at SUA (Undergraduate, Masters & PhD) and other parties that have interest in this field.

You are warmly welcomed to the Group.

For any Queries post your Questions Here.

blessings![/QUO thanks alot though am late
 
Back
Top Bottom