Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agnes wa masogange video queen

Discussion in 'Celebrities Forum' started by C.T.U, Jan 31, 2012.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,482
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 113
  agnes wa masogange ndie video queen kwa bongo sasa hivi kama unavyomuona ni mrembo na umbo la kuvutia
  huyu ndio yule wa kwenye wimbo wa masogange
  mapenzi yautesa moyoooo
  mapenzi yaumiza moyooooo
   

  Attached Files:

  • 6.jpg
   6.jpg
   File size:
   39.6 KB
   Views:
   723
  • 5.jpg
   5.jpg
   File size:
   39.7 KB
   Views:
   649
  • 1.jpg
   1.jpg
   File size:
   40.4 KB
   Views:
   1,447
  • 4.jpg
   4.jpg
   File size:
   31.4 KB
   Views:
   585
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,181
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 48
  Owwwkey.
  Na king ni nani? Maana penye malkia shurti pawe na mfalme.
   
 3. Young Master

  Young Master JF Gold Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,338
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 63
  Huyu demu hakuwa hivi. nadhani ametumia mchina kwa sababu zamani alikuwa mwembamba hana hata **** lakini nashangaa sasa hivi ana **** kubwa kama subwoofer
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,776
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 63
  Mbona pix zote anatangaza bidhaa? Au anatoa ndogo?
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,181
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 48
  Watu wakipiga picha (sio wote) hua wanatafuta mkao ambao utaonyeshe their 'best feature/asset'. Kama ni wowo atakaa kiupande, kama ni miguu ataikunja ama atainyoosha ionekane vizuri, kama ni macho atarembua na kuangalia camera moja kwa moja, kama ni kiuono basi ataweka na mkono ili ukione, kama ni tabasamu basi ataachia mpaka mwisho n.k

  Sasa dada hapo kaonyesha kile anachoona kinavutia zaidi kuhusu yeye, there is nothing wrong with that.
   
 6. inols

  inols JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 16
  Mbona mwanzisha thread anaonekana yupo zaidi kibiashara!!!! Wewe kuwadi wake nini???
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Biashara matangazo.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,776
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 63
  Ok asante kwa kunijuza Lizzy nilijua anatangaza biashara
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ila hii style ya wadada wa bongo sana sana kupiga picha na kugeuza makalio huwa sijui inaashilia nini? maana sijui ati....kila mwanadada picha anageuza makalio......makalio yanalipa sana eeh?
   
 10. n

  namimih Senior Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo demu hakuanza na masogange ila hiyo nyimbo ilikuwa hit, hebu tafuta video ya Suma rider inaitwa My lady , utamuona alivyokuwa ni hivyo hivyo tu, mgongo anao, ila kwa sasa umeongezeka kutokana na hali yake ya kipato kupitia fani.
   
 11. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 48
  analipa..
   
 12. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,202
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 38
  Mtoto mtamu sana uyu,ngoja ntamtafuta.
   
 13. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 5,745
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 48
  Hebu nipe contact za huyo mtoto. KAnaonekana katamu sana ati!
   
 14. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 5,745
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 48
  Hafu mbona picha zote kapiga kinyumenyume. Ndo anatuonyesha Mkia nini.
   
 15. +255

  +255 JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,630
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  Kafanya pia nangoja ageuke ya MwanaFA & AY
   
 16. I

  IFRS 9 JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Demu huyu kaumbwa!
   
 17. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii iko na manundu kam lima iko patikana wapi..
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,846
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 38
  she is hot
   
 19. valid statement

  valid statement JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,589
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Kama unakuta demu anayo, huwa yanawalipa itakuwa. Mana si bure kuhakikisha makalio yanaonekana kwa uzuri zaidi kwenye kila picha.
   
 20. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,540
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mbona naonyesha makalio tu? kuna biashara inaendelea hapo? ANYWAY bandika namba yake hapa tuifanyie kazi nasi tupate hizo thawab!!
   
Loading...
Similar Threads - Agnes masogange video Forum Date
Huyu ndiye anayemfaidi Agnes Masogange Celebrities Forum Jun 13, 2014
Agnes Masogange: Makalio yangu ndiyo kila kitu katika maisha yangu Celebrities Forum Apr 1, 2014
Mkoko mpya wa Agnes Masogange Celebrities Forum Mar 8, 2014
Agnes masogange sizzles in new pics Celebrities Forum Dec 13, 2013
Mapokezi makubwa yanaandaliwa kuwapokea Agnes masogange na ndugu yake, mnaombwa kuwepo airport Celebrities Forum Sep 21, 2013

Share This Page